Picha: Rais Samia akiwa kwenye kiwanda cha Volkswagen nchini Rwanda

Hatua kubwa ipi? Ku asseble hayo magari au? Hujui Rwanda ni LDC?
 
Tatizo siyo ma Rais wetu...Tatizo wasomi wetu wengi wapo so abstract na elimu yao hawawezi kui translate kwenye development. Kisha wengi hawaendi huko kwa objective ya kujenga nchi kwakua wametoka kwenye background ya abject poverty na walipo wanaishi under relative poverty kwahiyo mara zote kutokana na uncertainty wapo busy kutunga miradi ambayo itawapa wao cash zaidi kama ziara zisizo na tija, wakijishighulisha lakini lengo ni kutunisha hazina zao ili waondoke kwenye poverty line...Kisha governance yetu imejaa bueracracy ya ajabu inayozidisha transaction costs...Kifupi wanapanga mipango ya kutumia seed money kwenye personal agenda kuliko kuitumia katika kuongeza ukubwa wa uchumi ili uchumi ukiongezeka na wao wafaidike...Hii ya kufaidika siyo rahisi kwa yule anayeweka misingi maana benefits huja wakati tayari wakiwa wameshaondoka kwenye nafasi zao. So unless wahakikishiwe life after office (hao viongozi) na kuwe na positive and normetive frames za monitoring and evalution, kisha penalty zisiwe na patronage, kuondoka kwenye hii statuquo will be a nightmare!

Ipo tumaini, kama kizazi cha hawa waliopo (ambao baba zao na mama zao wana atleast something na hawana high dependency kitoka kwa extended family) wakifanikiwa katika uongozi na wakawa na good training both ni practices na in characters pengine tutayabadili haya...Well Mungu bado anaweza yote na yenyewe ni option nyinngine haya yote yakishindikana. Hivyo basi, tumwombe atuletee mtu kama JPM mwenye uthubutu lakini pia asiwe na extremity katika utendaji wake i.e an empathetic leader
 
Kagame anaonekana yuko vizuri kichwani kawazidi hawa jamaa wengine, hata mambo ya ndani kwetu anaweza kuwa anayafahamu vizuri tu ila anazuga kumuuliza Samia habari za alikotoka.
Anayoyajua ni machache sana na sio ya muhimu asiyoyajua ni mengi sana
 
Sasa tumeona nani anatekeleza Sera ya viwanda Tanzania
Rwanda sasa wana assembly Volkswagen
Rwanda ana assembly smartphone

Katumia vzr fusa za madini ya RDC
 

Laah!. Kama vile namwona vasco da gama, karudi kwa kupitia dirishani vile !!!!!!!!!!!!!!. Teramont, Oyeeeeeeeeeeeeee!.
 
Kalamu1 unauliza swali ambalo una majibu nalo.

Katiba mpya ni lazima
 
Kagame anaonekana yuko vizuri kichwani kawazidi hawa jamaa wengine, hata mambo ya ndani kwetu anaweza kuwa anayafahamu vizuri tu ila anazuga kumuuliza Samia habari za alikotoka.
Huyo jamaa alichosomea Ni spying na ndio Maisha yake yote ameishi akifanya hivyo.Ila pia ubalozi ulioko nchi yoyote Ile kazi yake mojawapo Ni ku spy nchi nyingine kihalali(kiuchumi,kisiasa,kiusalama) na ki vyovyote vile.

So jamaa anajua mambo mengi kutuhusu na sisi tunajua mambo mengi Sana yanayomhusu.
 
1. Waliua viwanda ili wachuuze bidhaa zao kutoka china na India.

2. Waliua reli ili magari yao ya mzigo, abiria na matank ya mafuta yasafirishe bidhaa hizo.

3. Wanaweka vipaumbele kwenye maeneo ambayo wanaweza kupata fursa ya kuiba.

Nani awekeze kwenye kilimo wakati wakulima hawana manufaa yoyote kwao tofauti na kuhalalisha uchafuzi kila miaka mitano?

Unataka wajenge kiwanda cha mbolea ili tender za kuingiza mbolea wasipate 10% ?

Unataka waanzishe kiwanda cha magari ili wasipige 10% kwenye uagizaji wa magari ?

Kama sera ya majimbo ni mbovu tuongeze devolution kidogo ili wilaya huko ziwe na mapato mengi utaona tunavyokimbia Shaaa hasa wakurugenzi na wakuu wa wilaya wakiwa wanaajiriwa on merit siyo kwa uzuri wa chupi na connection.
 
Na yote hayo yanachangiwa na udhaifu wa bunge.

Na udhaifu huo wa bunge ni wa kikatiba na si vinginevyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…