Picha: Rais Kikwete amjulia hali mh. John Cheyo.

Picha: Rais Kikwete amjulia hali mh. John Cheyo.

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,803
kikwete.jpg


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali mwenyekiti wa UDP Mh.John Momose Cheyo aliyelazwa katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam. Katikati ya Rais na Mama Salma ni Mjukuu wa Mheshimiwa Cheyo anayejulikana kama Gabriel Cheyo.

(Picha Freddy Maro)
 
Anayemjulia hali sasa... Anacheka tu!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Raisi angekuwa na moyo huu huu katika kushughulikia matatizo mengine ya kitaifa....tungekuwa mbali sana!
 
Nikataka nishangae tena Kikwete ana mtoto mdogo hivyo?!

Pole Mzee Cheyo Mwenyezi Mungu akulinde.
 
Raisi angekuwa na moyo huu
huu katika kushughulikia matatizo mengine ya kitaifa....tungekuwa mbali
sana!

ha ha ha ha ha ha,we jamaa mtata wewe!!,ngoja FaizaFoxy akuone akuchambe
 
Last edited by a moderator:
Nakumbuka maneno yako bungeni mzee Cheyo, anakwambia bila book pamba haitoki sijui alifikia wapi?
 
Back
Top Bottom