Picha: Rais Magufuli leo amekutana na kufanya Mazungumzo na John Momose Cheyo

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,491
54,884
IMG-20181113-WA0082.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akutana na kufanya mazungumzo na Mwanasiasa ambaye ni Mwenyekiti wa UDP John Momose Cheyo Ikulu jijini Dar es Salaam.

Habari ziadi, soma=>Ikulu: Rais Magufuli akutana na kufanya mazungumzo na Rostam Azizi - JamiiForums
 
Naona bado kuna zile tetesi za safishasafisha zinaendelea..lets wait
 
Duuh kaimprove kuvaa suit aisee mana mwanzoni yalikua makubwa balaa
Fundi wake wa mwanzo alimkosea ila sahv prezidah yuko vzuri kwenye suti

Hivi yule sheria ngowi yuko wapi?
Alijichomeka akajifanya dizaina wa viongozi wetu,kapotelea wapi sahvi!

Ova
 
Siku moja kavaa suti tatu tofauti ila viatu vilevile na saa ileile,wasukuma jaman
 
Duuh kaimprove kuvaa suit aisee mana mwanzoni yalikua makubwa balaa
Si yaliikuuwa na sehemu maalum ya kufichia mkasi wa kuzindua hadi baa,sasa ukubwaa umebaki kwenye mifuko ua surali kwa ajili ununuzi wa wapinzani,mambo yanaenda yanabadilika ati na rangi za mazionist kashauriwa na nanai sijui?!
 
Back
Top Bottom