Picha: Rais Kikwete amjulia hali mh. John Cheyo.

Picha: Rais Kikwete amjulia hali mh. John Cheyo.

Wewe mama hivi mmeo uwa unamhudumia na kunamtimizia haja zake saa ngapi..kutwa kucha uko JF

Nimhudumie? sisi Waislaam, wanawake tunahudumiwa na waume zetu. Kutwa kucha, kwa raha zangu babu wee, nikiingia chumbani nna ka laptop, nikitoka ukumbini ka ipad, nikitoka nje SG4. Hizo ndio huduma nnazopewa, utayaweza wapi wewe unaengoja mwanamke akuhudumie! unanshangaza!

Mtawapata haohao wasiojuwa maana ya mwanamke ni nini.
 
...Kesho tu utasikia India!pole mzee Cheyo!Mapesa yaliishia wapi?Nyerere alisema huyu mwanasiasa huyu hajamjua kabisa!
 
Ni kweli Aga khana? mtoto chini ya miaka 15 harusiwi kumwona mgonjwa au na huyo mtoto nae alilazwa?
 
Kwenye Misiba~meno 32 Nje!

kwenye Haruc~meno 32 Nje!

kwenye Shida~meno 32 Nje

n.k
tukielewe Vipi Hiki Kichwa Cha Nazi?
 
Nimhudumie? sisi Waislaam, wanawake tunahudumiwa na waume zetu. Kutwa kucha, kwa raha zangu babu wee, nikiingia chumbani nna ka laptop, nikitoka ukumbini ka ipad, nikitoka nje SG4. Hizo ndio huduma nnazopewa, utayaweza wapi wewe unaengoja mwanamke akuhudumie! unanshangaza!

Mtawapata haohao wasiojuwa maana ya mwanamke ni nini.

kiazi kweli ww.upo upo tu
 
...mkumbushe na wale watanzani waliopigwa bomu Arusha na Mwingulu nao akawape pole...
JF kuna wengi bado hawajui kuwa watu kama akina Cheyo, Mrema, Mbatia, Hamad, Seif, Lipumba, Shibuda, Dovutwa, Mtikila wanajulikana kama Assets...lazima mtambue programme mbali mbali kama za deep penetration za akina Zitto et al... hawa wanaumuhimu wa kipekee na wako chini ya Rais mwenyewe...kama alivyofanya yule kijana wa marekani alieko Russia ndivyo walivyofanya akina Marando, Slaa et al...hawa wanamuumiza kichwa sana mkuu wa kaya...
 
Nikataka nishangae tena Kikwete ana mtoto mdogo hivyo?!

Pole Mzee Cheyo Mwenyezi Mungu akulinde.

Mbona mzee SLAA ana mtoto umri chini miaka miwili na anataka kuongeza mwingine,sasa urais ataweza au atakuwa busy na kulea!

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
kikwete.jpg

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali mwenyekiti wa UDP Mh.John Momose Cheyo aliyelazwa katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam. Katikati ya Rais na Mama Salma ni Mjukuu wa Mheshimiwa Cheyo anayejulikana kama Gabriel Cheyo.

(Picha Freddy Maro)

sijawai kusoma,kuona au kusikia kiongoz wa nchi hii analazwa HOSPITALI ZA MWANANYAMALA,AMANA AU ILALA
 
kikwete.jpg

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali mwenyekiti wa UDP Mh.John Momose Cheyo aliyelazwa katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam. Katikati ya Rais na Mama Salma ni Mjukuu wa Mheshimiwa Cheyo anayejulikana kama Gabriel Cheyo.

(Picha Freddy Maro)
I wish ningekuwa nurse wake, ningemwekea cyanide to kill him soft, next will be Lyatonga na Mbatia
 
Back
Top Bottom