Picha-Polisi wapiga mabomu ya machozi Arusha

Picha-Polisi wapiga mabomu ya machozi Arusha

Uliwahi ona wapi kamanda wa mafunzo na uchunguzi ana kitambi huyu Chagonja hana akili kabisa anatatua matatizo kwa kutengeneza tatizo kitambi hiki kwa ajili ya rushwa tu halafu hana aibu wao police ndio wameua then wanataka kujichunguza wao upuuzi kabisa huo.
 
Kwakweli nimeangalia hiyo video, sikuona mantiki ya polisi kupiga mabomu wakati watu tayari walikuwa wameshatawanyishwa kwenda mount meru hosp kwa wale wenye nafasi. Dah kweli uonevu huu si sahihi hata kidogo
 
Nimekoswa risasi hapo karibu na kwenye maduka ya kwenda stand ndogo!!
Nilikuwa natokea ofcn kwangu mitaa ya stadium. Difender ikaja kwa kasi pasipo mimi kujua wakati navuka barabara kuelekea stand ndogo. Jamaa walikimbia na nilikuwa wa mwisho kukimbia.
Nilisikia sauti piga risasi huyo wa mwisho?! Kugeuka akawa anajiandaa kwa kushusha kioo na kuninyooshea bunduki.
Nikalala chini! Nikasikia sauti tena mfuate palepale?! Kunyanyua kichwa akawa anafungua mlango ashuke!
Nikanyanyuka na kuingia duka jirani na kujifungia!!
Wakaondoka??!

mh ............ kama kweli vile. bunduki mchezo
 
Kwa kweli hawa ndg zetu hawatumii akili hata kidogo....hawajui uchungu wa uhai kutolewa na binadam mwenzake,inabidi wao pia wapate uchungu huo coz wanaishi uraiani hivyo ni wakati sasa wanapokuwa katika viwanja vy mapambano basi watu wengine viwanja vya mapambano wahamishie kwenye family zao.Ikiwa inatokea hivyo mara kwa mara watakataa kutumwa.NI AKILI ZA HOVYO SANA
 
Wapuuzi kabisa mnashindwa kuheshimu mamlaka zilizo kisheria mkishughulikiwa mnaanza kulialia pambaneni tu nyie sini makamanda?

jina lako nalifananisha na la ------ fulani hapa .loading....
 
Unajua sisi ambao tuko arusha ndo tunajua kilichotokea, polis walikua wakikuta watu wamekusanyika 3 au 4 wanafyatua risas ovyo. Kweli kabisa polis walikua wanafyatua risas ovyo.
 
Mkabila mbaguzi hana nafasi katika nchi hii,acha uchochezi wa kuwabagua binaadamu kama wewe.
mbona husikii kuna maandamano moshi kwani kule hakuna chadema au uonevu kama ambavyo mnataka watu waamini.Wamasai amkeni wachaga wanavuruga mji wenu mmewakaribisha wametajirika sasa hivi wameamua kuwalipa maovu
 
Utaheshimiwa kama unajiheshimu,kama unakunya watoto wanakuangalia pana heshima hapo?,mbona unakuwa na akili kama mbayuwayi?,acha USAMAKI wewe!
 
mbona husikii kuna maandamano moshi kwani kule hakuna chadema au uonevu kama ambavyo mnataka watu waamini.Wamasai amkeni wachaga wanavuruga mji wenu mmewakaribisha wametajirika sasa hivi wameamua kuwalipa maovu

Usiwe kama mtoto wa kike anayevunja ungo hajui mabadiliko mwilini mwake anabaki kuweweseka. Unaposema wachaga wanawaharibia wamasai huo ni ukabila. Tumia akili kufikiri na sio makalio.
 
Dah simulizi ya huyo mkuu hapo juu imeniogofya si kawaida, upo uwezekano wameuwawa wengi zaidi ila imefanywa siri, kama udiwani ni hivi 2015 sijui itakuaje?
Kodi yetu inatumika ku-run genge la majambaz wanao-pose kama police. Huezi kuamini jinsi walivyoterrorise women & children and other passer-bys. ambao hawahusiki chochote na siasa.
 
Chadema sijui wana nia gani tu!! Yaani huwa wanajazana upepo tu, halafu wale wachache wenye kauwezo ka_kufikiria kidogo, matatizo yakianza huwaoni!!! Mungu tusaidie kwa kweli sijui hawa watu wametoka wapi!!

Chadema ndio waliopiga mabomu?? ? Akili za panya hizi.
 
Mungu ni mwema kuliko Kikwete. Ipo siku atashuhudia watanzania wakitawaliwa na viongozi wenye hekima na busara. Hivi vipolisi vyake uchwara vitashia kama yeye mwenyewe. Wewe ngoja tu!
 
Back
Top Bottom