nina uhakika huwezi kupata majibu hayo kwa maana uliowaelekezea hayo maswali kwenye memory zao hakuna msamiati unaoitwa 'HAKI ZA BINADAMU'Wadau,
Nimekaa, nikatafakari juu ya taarifa inayohusu mlipuko huko Arusha na kujiuliza maswali haya bila jibu:
- Ni kwa nini Polisi waende kwenye mkutano wa hadhara (kama huo wa huko Arusha) huku wakiwa na silaha za moto?
- Je? Sheria za ulinzi na usalama hasa zile zinazowasimamia Polisi zinasemaje kuhusu ubebaji na utumiaji wao wa silaha za moto?
- Hata kama ni kwa kujihami na fujo za raia, yale maji ya kuwasha, risasi za plastic, virungu, n.k viko wapi mpaka watangulize silaha za moto?
- Hao viongozi wetu (Pinda, Kikwete, Lukuvi, n.k) ambao mara kwa mara wamekuwa wakiwakingia kifua hawa Polisi wanaoua raia mara kwa mara nao hawajui hizo sheria? Au wao ndio wanaowatuma? Mbona watu kama Pinda na Kikwete hawafananii kuwa na roho kama hizo? (Labda Lukuvi).
- .........? :shock:
Naomba mnisaidie kupata majibu ili roho yangu itulie kwenye msimamo mmoja! Ahsanteni.
Pole na hongera kwa kuepuka kudhuriwa...
Nikanyanyuka na kuingia duka jirani na kujifungia!!
Wakaondoka??!
pole ndugu yanguNimekoswa risasi hapo karibu na kwenye maduka ya kwenda stand ndogo!!
Nilikuwa natokea ofcn kwangu mitaa ya stadium. Difender ikaja kwa kasi pasipo mimi kujua wakati navuka barabara kuelekea stand ndogo. Jamaa walikimbia na nilikuwa wa mwisho kukimbia.
Nilisikia sauti piga risasi huyo wa mwisho?! Kugeuka akawa anajiandaa kwa kushusha kioo na kuninyooshea bunduki.
Nikalala chini! Nikasikia sauti tena mfuate palepale?! Kunyanyua kichwa akawa anafungua mlango ashuke!
Nikanyanyuka na kuingia duka jirani na kujifungia!!
Wakaondoka??!
Tangu vita vya Kagera watu hawajaona vita kwa hiuo wamesahau ndiyo maana wanaitafuta vita kwa udi na uvumba. Waulizeni watu walokuwa Kagera ndipo mtajua madhara ya vita. Tena vita ya wenyewe kwa wenyewe ni mbaya zaidi iwa kuwa huwa haiishi. Jamani. Tusifike huko.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Pole na hongera kwa kuepuka kudhuriwa
Mkuu, sasa tufanyeje maana hata sasa tuko kimya na bado wanaanzisha vita?Si uyaanzishe ww?? Watu wanalilia amani wee unawaza vita??shame kwako
pole ndugu yangu
mm niliwahi kuwa na hali kama hiyo hapa znz natoka kazini hata sijui kuna nn kikaelekezewa bomu la machozi mwilini MUNGU mkubwa halikunipata nikamwambia mwezangu niliyekuwa nae tusisimame watatuuwa hawa wandawazimu, yeye alitaka tusimame akidhani tutasalimika wapiiii kuazia siku hiyo nikajua tuna polisi wa aina gani na nilidhani mambo haya yatafanywa ZANZIBAR tu
maisha yetu waTZ yamekuwa PRICELESS chini ya UTAWALA WA CCM
WAIT AND SEE POPULAR UPRISING IS COMING SOON
WAMISRI walifika pahali wakakubali wengine wafe ili kulinda maisha ya wengine wasife. ilipofikia hapo, misri ikachemKa,mubarak akauwa sana lakini matokeo yake EGYPT WILL NEVER BE THE SAME AGAIN. MUBARAKA atafia gerezani akiyashuhudia yale aliyo yaogopa yasitokee wapizani wake kushika madaraka.. ccm.....ccm ccm ...mnamwaga au kusababisha damu ya watz kumwagika ovyooo dawa yenu isachemka bado wa kuwanywesha tu hajawa tayarii anahifia nchi itakunja uso wakati wa kuwanywesha dawa chuguDuuh?! Asante.. kuna rafiki yangu ni askari nimeongeanae mida ya asubuhi. Akaniambia ni agizo walipewa jana la kuua na kubeba na kufuta damu, kwa kupoteza ushahidi...