AgentX
JF-Expert Member
- Mar 7, 2015
- 1,651
- 1,701
- Thread starter
- #41
kuna anayefuata nyendo za Muhammad Ali..... ? Ktk kipindi hiki??? faiza foxy mcubic nipeni jibu wadau.
Last edited by a moderator:
Raundi ya 15 Frazier alishindwa kurudi ulingoni....Ali alinukuliwa akisema alijisikia kufa. Ni pambano bora kuliko yote....
Mkuu hapa umechanganya mambo, pambano ambalo Frazier hakurudi raundi ya kumi na tano, na ambalo Ali alitamka maneno hayo lilikuwa pambano lao la tatu na la mwisho lililoitwa "Thriller in Manila". Pambano lao la kwanza ambalo picha yake ipo hapo juu lilikuwa la kwanza kati ya wababe hao, lilikwenda mpaka raundi ya kumi na tano, ilikuwa shuhulli kweli kweli lakini mzee mzima Ali alilamba sakafu nafikiri raundi ya kumi na tatu na kile kilichokuja kuwa maarufu sana duniani "left hook".
Ama kwa hakika pambano hili lilizima zile tambo na mdomo "mourhino" wa Ali, lakini inaweza changiwa zaidi na Ali kukaa muda mrefu bila kupigana, maana alikataa kupigana vita ya Vietnam, na ile medali yake ya dhahabu ya Olympic ya mwaka 1960 aliitupa ndani ya mto mmoja Marekani, ingawa baadaye alikuja kurudishiwa.
Ok .....kesho ntarudi na ushahidi