AgentX
JF-Expert Member
- Mar 7, 2015
- 1,651
- 1,701
- Thread starter
- #21
Mama zetu bwana sijui walikuwa na tatizo gani na left handeds! Mimi hadi leo ukiniuliza ghafla mkono wa kushoto ni upi napata tabu sana. Ni kwa sababu mkono wa kushoto nilikuwa nautumia kwa kujificha sana matokeo yake mikono imegawana majukumu kimaajabu ajabu. Mama yangu amejua nikiwa mtu mzima tayari kuwa bado narusha mawe kwa mkono wa kushoto
Mimi nina tatizo hilo pia. Ila nina alama kubwa mkono wa kulia hivyo ndio alama yangu ktk kutofautisha mikono.