Muhammad Ali dodges a punch from Joe Frazier at the "Fight of the Century" March 8, 1971.
View attachment 259563
Pamoja ....Huyu ndio legend. My boxer...... Jamaa anatumia mkono kama wangu. I am LEFT HANDED
Zamani nilikuwa mashoto siku hizi najitahidi na wa kulia, kwahiyo sasa hivi mikono yote sana ingawa wa kulia nakuwa mzito kidogo kulinganisha na wa kushoto ila maendeleo si mabaya sana.Wewe pia mkuu?
Zamani nilikuwa mashoto siku hizi najitahidi na wa kulia, kwahiyo sasa hivi mikono yote sana ingawa wa kulia nakuwa mzito kidogo kulinganisha na wa kushoto ila maendeleo si mabaya sana.
Mpira wa miguu ndio usiseme miguu yote yaani sana tu
Kula nlikuwa napata sana tabu nlipokuwa mdogo sema Maza alijitahidi kunichapa chapa vibao vya mikono pale ninapojisahau mpaka nikazoea, mambo mengine kushoto ila kula mkono wa kulia na hata ninapokamata kijiko kwa mkono wa kushoto niligombezwa hadi kufikia kuweza kutumia mkono wa kulia wakti wa chakulaMie shoto kila kitu. Kasoro kula tu
Kula nlikuwa napata sana tabu nlipokuwa mdogo sema Maza alijitahidi kunichapa chapa vibao vya mikono pale ninapojisahau mpaka nikazoea, mambo mengine kushoto ila kula mkono wa kulia na hata ninapokamata kijiko kwa mkono wa kushoto niligombezwa hadi kufikia kuweza kutumia mkono wa kulia wakti wa chakula
Huyu ndio legend. My boxer...... Jamaa anatumia mkono kama wangu. I am LEFT HANDED
Mie shoto kila kitu. Kasoro kula tu