Tukosoe kwa hoja si kishabiki
Mwalimu akiishi kwenye nyumba kama hiyo, ni upumbavu wake
Hata wapishi wa shule hawaishi kwenye kibanda kama hicho
Hela ya posho anayopewa 250k pekee akiamua awekeze miaka miwili tu anapata sehemu nzuri ya kujistiri kwa maisha ya kijijini
Pia ana fursa ya mikopo
Tumkosoe SSM kwa mengine ila sio hilo