Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,406
We jamaa kauzu duh! Yani unauza vitu vya hivyo hata hujaosha? Ona hiyo meza..aiseee boresha piga hata varnish ipendeze punguza ukauzu
Vitu kama hivi ukihama inatakiwa uviache....🙂🙂🙂
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]na wewe donner set ni nini?
Mie ni ngosha lakini hivyo hata bure sitakiHivyo vifaa wauzie wakina NGOSHA ndio zaizi yao!!!!!
Hahahaha yani nimecheka balaa mwenyewe kajidai ndio anajua hizo mambo kumbe naye yuko chakana wewe donner set ni nini?
Aisee kumbe set ina viti sita jamaa anataka kuuza vinne tu?!!Viti viwili utabaki navyo braza!??
Nimehamia kwenye nyumba yangu mpya hivyo kuna baadhi ya vitu nililazimika kuviacha nje na kuanza kutumia furrniture mpya hivyo hivi vilikaa nje kwa muda mrefu that's why vinaonekana vichafu na vyenye tope. BT its ll gud.Mkuu ulikuwa unaishi kwenye tope nini?
Hata hivyo kibiashara ulitakiwa uvifanyie usafi kwanza.
Nitamtafuta Fid Q nimuuzie maana ndie Ngosha mwenzangu.Hivyo vifaa wauzie wakina NGOSHA ndio zaizi yao!!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe jamaa bwana!Au unahama usiku...🙂🙂🙂
[emoji23] [emoji23] [emoji23] au amekuwa kambare au?Mkuu ulikuwa unaishi kwenye tope nini?
Hata hivyo kibiashara ulitakiwa uvifanyie usafi kwanza.
Namtumbo huko huwa kuna magari ya coca cola yanakuja basi huwa hawana maneno jamaa ukiwapa chao wanafikisha mzigo very comfortable na kwa wakati.Navihitaji kwa gharama yoyote nipo namtumbo nitavipataje?
Huyo jamaa huwa anapenda sifa saana...namfananishaga na "Mbuta nanga" yaani.[emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe jamaa bwana!