Sleeper Cell
JF-Expert Member
- Apr 7, 2016
- 210
- 265
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nilipofungua tu huu uzi nilitegemea kukutana na comment kama hiiDuh..vibaya kichizi...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nilipofungua tu huu uzi nilitegemea kukutana na comment kama hiiDuh..vibaya kichizi...
"Ndio maana mmoja kati ya wanne wewe"Kwani ukivitupa wenyewe wanakataza??!!..
Kabla ya uhuru hapakuwepo na madinner set seat dinning bhana.mbona kama vile ni vya kabla ya uhuru
Sawa bhana..."Ndio maana mmoja kati ya wanne wewe"
[HASHTAG]#utafiti[/HASHTAG]
uwiiiii mbavu zanguuuuAhahaha! Bombadia mkubwa wewe.
Baba yako anavyo? Kule ikungu lya mbeshi si mlikuwa mnalia chakula kwenye "shkome"! Blalifuli!
y aaan nimecheka Mno elewa Mungu anakuona si kwa comment hiiVitu kama hivi ukihama inatakiwa uviache....🙂🙂🙂
uwiiiii msameheni msukuma mwenzangutetemeko jamani au mmesahau?
Haaaaqana wewe donner set ni nini?
Unasemaje kijana??!!..father house nae atakua mmoja kati ya wanne maana nyumba inavoenda sasa sio kabisa, watoto wanalala njaa mpaka wanauza vitanda ye anakalia knunua bodaboda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii thread nimecheka sana.mbona kama vile ni vya kabla ya uhuru
vp hujawahi kukaa nyumba ya kupanga.?Unasemaje kijana??!!..
Hivi wewe kumbe ndiye muanzisha thread?Huyo jamaa huwa anapenda sifa saana...namfananishaga na "Mbuta nanga" yaani.
Sisi ukoo wetu MTU akifariki tunamwekea kitanda dinning table blanket na vikombe akatumie aendako,hivi vyako vitanifaa kwa kuwa ni vikukuuNamtumbo huko huwa kuna magari ya coca cola yanakuja basi huwa hawana maneno jamaa ukiwapa chao wanafikisha mzigo very comfortable na kwa wakati.
Kama kweli huko serious na pia ni potential customer niambie nikubalansie na bei ya kununulia mkuu. Sina kazi navyo vitachakaa hapa home tu.