Nifah
Platinum Member
- Feb 12, 2014
- 34,417
- 82,371
[emoji23] [emoji23] [emoji23]tetemeko jamani au mmesahau?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]tetemeko jamani au mmesahau?
Naona unataka kuniprovoke nijibu kama munawar magari.Kitanda nikupe 25000
Mimi pia sijaelewa, labda kule kwetu Idindilimunyo hivi vitu ni vigenidinner set ni nini shunie nimetoka kijijini mie
Mimi pia sijaelewa, labda kule kwetu Idindilimunyo hivi vitu ni vigeni
Mungu anakuona!!Vitu kama hivi ukihama inatakiwa uviache....🙂🙂🙂
That's not fair! Hata wewe ni wa kunidiss ndugu yako?nakushauri Toa msaada mbadala wa madawati mashuleni
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kwani ukivitupa wenyewe wanakataza??!!..
Wanaume wa Dar hawana mitkasi kama hii,Ila nimecheka sana.....! Halafu kilasiku mnawananga wanaume wa Dar. Duh!
Leta tu fyoko fyoko uone!Hapa nikiongea ntaishia kula ban,wacha nikae kimya!
I salute you. Ingekuwa mwingine utani huu angetokwa povu balaa!"Ndio maana mmoja kati ya wanne wewe"
[HASHTAG]#utafiti[/HASHTAG]
Hahahaaaaa! Unazidi kunivunja mbavu. Mitkasi yenyewe ndo hii. Yote tisa, 10 hicho kitanda. Hahahaaaa. Mkuu masihara hayo. Siyo kama nawatetea 'wauza nyago', ila sometimes na nyie mjiangalie jamani.Wanaume wa Dar hawana mitkasi kama hii,
Kazi yao iko Instagram na Facebook kulike na kushare picha za misosi wakiwa Instagram dinner party na principal bachelor Le Baharia.
Pesa madafu...hata shingi mia aiachwi inapigwa..yaani pesa madafu!Hah
Hahahaaaaa! Unazidi kunivunja mbavu. Mitkasi yenyewe ndo hii. Yote tisa, 10 hicho kitanda. Hahahaaaa. Mkuu masihara hayo. Siyo kama nawatetea 'wauza nyago', ila sometimes na nyie mjiangalie jamani.
Munawar ni namba nyingine.Naona unataka kuniprovoke nijibu kama munawar magari.
Ooopsiii!! Kumbe biashara zinataka ustamilivu saana eti..loh!
uwiiii nimecheka mnoSisi ukoo wetu MTU akifariki tunamwekea kitanda dinning table blanket na vikombe akatumie aendako,hivi vyako vitanifaa kwa kuwa ni vikukuu