feitty
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 2,595
- 4,205
Kuliko kuvitupa wakati kuna watu majumbani kwao hamna kabisa kiti wala hakijawah kuwepo si afadhali avitoe bure wakalie ajichumie zake thawabu.Kwani ukivitupa wenyewe wanakataza??!!..
Kutupa kitu kinachofaa wakati kuna watu wanauhitaji ni kukufuru.Wape masikini watumia