Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,304
Sasa itakuwa sembe set kwa mwendo huuna wewe donner set ni nini?
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sasa itakuwa sembe set kwa mwendo huuna wewe donner set ni nini?
Wazazi wangu wakae kijijini wakati kipindi cha utawala wa Kikwete nilikuwa kwenye system napiga misimbazi.Wapelekee wazazi wako shamba maan hutopata watejaaaaaa
umenichekesha Mno yaani nimeongeza siku za kuishi namapole nkoy!That's not fair! Hata wewe ni wa kunidiss ndugu yako?
Kweli hapa mjini kila nyumba ina namba.
Tamko vyote kwa lugha ya malkia dadangu nami nijueNinahisi inaitwa dining table ya viti sita, jamani wajuzi tuelimisheni.
Ungekuwa dar ningechukua kitanda hichoHabari!
Ninauza dinner set yenye viti vinne iko katika hali ya kawaida kwa bei ya tshs 140000/= inapatikana Mwanza.
Pia ninauza kitanda cha mninga futi 4×6 kiko kwenye hali ya kawaida kwa tshs 60000/= kinapatikana Mwanza.
Kwa maelezo zaidi piga 0754257807.
View attachment 421319View attachment 421320View attachment 421321View attachment 421322
Majibu ya Remi hayoAhahaha! Bombadia mkubwa wewe.
Baba yako anavyo? Kule ikungu lya mbeshi si mlikuwa mnalia chakula kwenye "shkome"! Blalifuli!
yaaaan nimecheka MnoMunawar ni namba nyingine.
Yule jamaa chenga sana,hana customer care na ni mjuaji sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huwa nasoma kimyakimya huku mbavu zikinivunjika.
Hahahahaaa! Kweli tia maji...ungaunga mwana!. Sasa huo mninga walikuuzia maneno ya mpingo au kitanda cha mninga?, hahahahaaaa!. Au na wewe unataka kumpiga mtu?. Lol!Pesa madafu...hata shingi mia aiachwi inapigwa..yaani pesa madafu!
Hata nikiwa na million tano nikiona mia njiani naokota...Wamkoa tuna "financial discipline "
I admit kitanda changu nacho tia maji tia maji. Loh!
kwa comment hii Mungu anakuonaHahahahaaa! Kweli tia maji...ungaunga mwana!. Sasa huo mpingo walikuuzia maneno ya mpingo au kitanda cha mpingo?, hahahahaaaa!. Au na wewe unataka kumpiga mtu?. Lol!
Yule jamaa ndo maana hata simuoni humu jukwaani possiblly biashara yaweza kuwa imemshinda maana ana majibu kama Lodi lofa, maneno ya ghubu kama watoto wa kifimbo cheza, ungangabe kama Baba ubaya.!Munawar ni namba nyingine.
Yule jamaa chenga sana,hana customer care na ni mjuaji sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huwa nasoma kimyakimya huku mbavu zikinivunjika.
Hunizidi mimi.yaaaan nimecheka Mno
Kuna jamaa mmoja walikuwa wanaligi kali sana ID yake imenitoka.Yule jamaa ndo maana hata simuoni humu jukwaani possiblly biashara yaweza kuwa imemshinda maana ana majibu kama Lodi lofa, maneno ya ghubu kama watoto wa kifimbo cheza, ungangabe kama Baba ubaya.!
Sidhani kama kuna mtu ajachukuana nae upepo humu jukwaani.
Nahisi unaweza kuwa munawar umekuja na ID nyingine. Nitakupa buure nione kama utanirudishia au utachukua mninga.Tupaaaa bx
Trust me usingweza kuregret..mzigo mninga "Mali mtumba, Mali ulaya"Ungekuwa dar ningechukua kitanda hicho
Mhh!! Makubwa haya! Ila ile njemba ina majigambo kama inaimbaga ngonjera kwenye mahafali ya elo wai.Kuna jamaa mmoja walikuwa wanaligi kali sana ID yake imenitoka.
Sasa yule jamaa sijui ilikuwaje bwana...
Acha Munawar atambe kampoteza!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nina muda sijamuona pia...tuombee kheri tu.
Thubuuutu!!Tamko vyote kwa lugha ya malkia dadangu nami nijue
Wewe wakati unaanza kunya hadi ufike igoma utatokea wapi pasiansi,bwiru,bugarika,nyasaka,kiloleni au maeneo gani ili nijue umbali wa hiyo safari[emoji15]Thubuuutu!!
Akiandika vyote kwa kizungu sahihi, nakunya mavi ya karanga karanga kama ya mbuzi hapa na Igoma.
Wallah!