Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,920
yaani we mwekundu na ujanja wako wote unanyonyeshwa dole gumba nawe unanyonya tuuuuu! nani alikwambia kwa kufanya hivyo ndivyo utamkamata mpenzi? hapo alikuwa anakusanifu tu na kukuona hamnazo looooo! pole we!
Nyie kibaya hukiona kizuri na kizuri mnakiona kibaya
Nyie viumbe nyieeee!!!!!!
Aaaaaaaahhhhhhhhhh!!!!!!!