Picha: Nikiamka nazikuta chale, zinatoka wapi?

Picha: Nikiamka nazikuta chale, zinatoka wapi?

Tunaomba picha za chale hizo ulizotuma ni za mikwaruzo
 
ile avatar yako nyingne iko wap? Najuta kwa nini sikuidownload, nimeamin maneno ya wahenga yasemayo "thamani ya kitu huja ukikikosa" ila sio mbaya nitakuja Pm unitumie. Turud kwenye maada, Mtoa mada nahc kalala na bund bila kujua.
Hahahahaha nitairudisha
 
Hiyo mbona mikwaruzo mkuu.
Nilishashuhudia mdada wangu wa kazi ameamka amejaa chale mwili mzima nikaamini kweli uchawi upo na mwenyewe akawa anakazania waliomchanja watakua walitoka kijijini kwao. Walimchanja wakampaka na dawa nyeusi.
 
Daah kuna watu wanakuchezea usiku nebda kwenye maombi kama uko dar neda mtoni kwa aziz ally tafutabkanisa la eagt kwa pastor katunzi hapo utapona hutaziona tena hzo chale maombi ni bure hapo.
Ingependeza zaidi tuwasaidie watu kuacha kutegemea watumishi, badala yake tuwashauri wamtegemee Mungu na kuwa na mahusiano binafsi na Mungu.

Hata hivyo huko ulipomuelekeza kwa Mch. Katunzi ni kwema, ataombewa na kushauriwa vizuri na kuongozwa kwa Kristo.

Vv
 
Nmekua nikijiuliza sana hizi chale ziatokea wapi, inatokea nalala sina alama ila kesho nakuta eneo ambalo lilikuwa halina alama kesho yake limechanjwa na kitu kama viwembe kwa mbali, sio Mara moja hii kitu yaweza kunitokea mara mbili kwa mwezi sana sana maeneo ya mikono, kifuani ama mgongoni.

nimeambatanisha picha za chale nlizozikuta kwenye sehemu ya mkono....Hua zinatoka wapi na zina maana gani naombeni mawazo yenu.

Cc. Mshana Jr View attachment 818225View attachment 818226View attachment 818229
Hizo sio chale ndugu yangu inavyoonekana we una kucha ndefu ukilala usiku waga unajikuna bila wewe kujua,punguza imani za kishirikina jiamini
 
hukumfukuza? Mimi asubuh hio hio angepanda shambalai
Hiyo mbona mikwaruzo mkuu.
Nilishashuhudia mdada wangu wa kazi ameamka amejaa chale mwili mzima nikaamini kweli uchawi upo na mwenyewe akawa anakazania waliomchanja watakua walitoka kijijini kwao. Walimchanja wakampaka na dawa nyeusi.
 
angalia dodoki unalotumia wakat wa kuoga hasa kama umezoea kuoga mida ya usiku
 
Nmekua nikijiuliza sana hizi chale ziatokea wapi, inatokea nalala sina alama ila kesho nakuta eneo ambalo lilikuwa halina alama kesho yake limechanjwa na kitu kama viwembe kwa mbali, sio Mara moja hii kitu yaweza kunitokea mara mbili kwa mwezi sana sana maeneo ya mikono, kifuani ama mgongoni.

nimeambatanisha picha za chale nlizozikuta kwenye sehemu ya mkono....Hua zinatoka wapi na zina maana gani naombeni mawazo yenu.

Cc. Mshana Jr View attachment 818225View attachment 818226View attachment 818229
ANGALIA SABUNI UNAYOOGEA. KAMA IKIDONDOKA BAFUNI INASHIKANA NA MCHANGA AMBAO UNAKWARUZA NGOZI LAINI KAMA YA KWAKO. SS NGOZZI NGUMU WALAA. FANYA UTAFITI URAGUNDUA HILI HAKUNA UCHAWI WALA NINI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom