Au usiku akilala awe ana lala na grops mkononi, aepuke kujikwaluza na kucha. Akivaa grops na mikwaruzo ikatokea ujue usiku wachawi wamechukua vya kwao apo..Huwa unajikuna usiku. Hakikisha unakata kucha zako za mikono na kuzifanyia filing vizuri ziwe butu.
Kama waganga wa JadiBiashara matangazo
Atakuwa Ke nadhan maana lain kichizUkinijibu swali hili nitakupa solution ya uchawi huo
Wewe ni ME au KE?
Pole sana mkuu!!! Nianze kwa hapo... Hila hizo chale wanazokuchanja sio nzuri ni chale za wachawi na wanga haoNmekua nikijiuliza sana hizi chale ziatokea wapi, inatokea nalala sina alama ila kesho nakuta eneo ambalo lilikuwa halina alama kesho yake limechanjwa na kitu kama viwembe kwa mbali, sio Mara moja hii kitu yaweza kunitokea mara mbili kwa mwezi sana sana maeneo ya mikono, kifuani ama mgongoni.
nimeambatanisha picha za chale nlizozikuta kwenye sehemu ya mkono....Hua zinatoka wapi na zina maana gani naombeni mawazo yenu.
Update: Hizi ni picha za mkono kwenye msuli sio mapaja wala mgongo
View attachment 818225View attachment 818226View attachment 818229
Mzigua acha comedy basi..Hiyo mbona mikwaruzo mkuu.
Nilishashuhudia mdada wangu wa kazi ameamka amejaa chale mwili mzima nikaamini kweli uchawi upo na mwenyewe akawa anakazania waliomchanja watakua walitoka kijijini kwao. Walimchanja wakampaka na dawa nyeusi.

Nalionaga basi la shambalai hivi ni wapi huko? Mana limechokaahukumfukuza? Mimi asubuh hio hio angepanda shambalai
Nalionaga basi la shambalai hivi ni wapi huko? Mana limechokaa
Michezo ya wanga haina madhara... Lala na ndimu na kitunguu saumuNmekua nikijiuliza sana hizi chale ziatokea wapi, inatokea nalala sina alama ila kesho nakuta eneo ambalo lilikuwa halina alama kesho yake limechanjwa na kitu kama viwembe kwa mbali, sio Mara moja hii kitu yaweza kunitokea mara mbili kwa mwezi sana sana maeneo ya mikono, kifuani ama mgongoni.
nimeambatanisha picha za chale nlizozikuta kwenye sehemu ya mkono....Hua zinatoka wapi na zina maana gani naombeni mawazo yenu.
Update: Hizi ni picha za mkono kwenye msuli sio mapaja wala mgongo
View attachment 818225View attachment 818226View attachment 818229