Picha: Nikiamka nazikuta chale, zinatoka wapi?

Picha: Nikiamka nazikuta chale, zinatoka wapi?

Usilale bila net halafu ukate kucha kama ni ke basi ubandue hayo makucha hutaziona hizo uziitazo chale ingawa ni mikwaruzo,
 
Mkuu, nina wasiwasi chaputa wanaweza kutumia hii picha kumalizia mambo yao.... tehteehhh
tapatalk_1532508383660.jpeg
 
Sikumfukuza hata ila alivyopiga simu kwao walipanic wakamwambia arudi haraka. Nikamwambia sina nauli kwao wakamtumia akaondoka. Hakurudi tena sasa sijui alikasirika maana niliokota hirizi yake nikaiflash chooni alivyoamka na chale zake akasema waliomchanja waliondoka na hirizi yake nikamwambia niliikuta bafuni sikujua imefikaje nikaogopa mtoto anaweza kutana nayo ndo maana nikaiflash.
hukumfukuza? Mimi asubuh hio hio angepanda shambalai
 
Nmekua nikijiuliza sana hizi chale ziatokea wapi, inatokea nalala sina alama ila kesho nakuta eneo ambalo lilikuwa halina alama kesho yake limechanjwa na kitu kama viwembe kwa mbali, sio Mara moja hii kitu yaweza kunitokea mara mbili kwa mwezi sana sana maeneo ya mikono, kifuani ama mgongoni.

nimeambatanisha picha za chale nlizozikuta kwenye sehemu ya mkono....Hua zinatoka wapi na zina maana gani naombeni mawazo yenu.

Cc. Mshana Jr View attachment 818225View attachment 818226View attachment 818229
Ukinijibu swali hili nitakupa solution ya uchawi huo

Wewe ni ME au KE?
 
Mkuu shadownet kwa kuangalia tu picha ulizoweka za huo mkono na mgongo inaonesha kabisa wewe ni wakike. Sasa nakushauri kata kucha zako kwani inawezekana kabisa umejikwaruza mwenyewe ukiwa usingizini. Au inawezekana umeogea dodoki lililokukwaruza bila wewe kujua.

Lakini pia inawezekana ni uchawi, hii dunia ina mambo mengi sana. Jaribu kutafakari background yako mwenyewe kwenye haya mambo ikoje. Inawezekana siku za nyuma ulishiriki kwenye mambo ya kishirikina. Tafuta msaada wa kiroho mama.
 
Nmekua nikijiuliza sana hizi chale ziatokea wapi, inatokea nalala sina alama ila kesho nakuta eneo ambalo lilikuwa halina alama kesho yake limechanjwa na kitu kama viwembe kwa mbali, sio Mara moja hii kitu yaweza kunitokea mara mbili kwa mwezi sana sana maeneo ya mikono, kifuani ama mgongoni.

nimeambatanisha picha za chale nlizozikuta kwenye sehemu ya mkono....Hua zinatoka wapi na zina maana gani naombeni mawazo yenu.

Cc. Mshana Jr View attachment 818225View attachment 818226View attachment 818229
Sio chale hizo
Hujawahi kuchanjwa
Nimewahi kuchanjwa vinakuwaga vidogo vidogo
Hivyo utakuwa umejikwaruza na kucha au waubani wako kakukwaruza wkt wa majamboziii
 
Omba sana Mungu, mi yalishanikuta unaamka asbh unakuta kitu kama hivyo SAA nyingine katkat ya mapaja, kuja kuchunguza lumbe wenye ndo michezo yao, mwsh wasiku nikahama na sjawahi kutana na vibweka kama hivyo
 
Kuna mdada naye alikuwa naamka anajikuta hivo akawa anazembea ameuguwa miaka ya nyuma mpaka akili zikaruka ila sahivi yuko vizuri zingatia maombi kabla hujalala mana wengi mnalala tu hata kusali hamkumbuki jikabidhi kwa Mungu kabla ya kulala kila siku
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom