Picha;Nguvu ya Mwanamke:Tupia yako!

Picha;Nguvu ya Mwanamke:Tupia yako!

Waliyoona nguvu ya mwanamke inayoongelewa wanisaidie!..
Naona picha za waandamanaji tu ambao hatujui waliweza vipi kubadili walichoandamania!..
Brazil Da Silva yupo jela, aliyekuwa Rais baada yake yule mama alishalazimishwa kujiuzulu na kesi zao za utapeli wa mafuta zipo mahakamani.
Wanawake wa shoka kama Miss Bhuto waliishia kula shaba ila hawakuwa na bahati kama Lisu. Achana na wabongo sisi makondoo. Wakitokea wachache wenye uthubutu kama Bibi Titi Mohamed enzi hizo, wanaitwa malaya. Angalia akina Ester Bulaya na Halima Mdee wanavyokaza buti.
 
Mwandamanaji wa 'Occupy wall Street' akipaza Saudi wakati akikamatwa October 2011
powerful-women-protesters-19-59f03eb3e6616__700.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umejibu vema mkuu

Back
Top Bottom