Hii ilikuwa 26/4/2018 anaitwa Hilder Newton, jasiri sana huyu aliandamana peke yake japo amepata misukosuko lakini hajarudi nyuma
With all due respect sir, ina maana mtu akikuita Punga ina maana we ni Punga kwa kuwa huwezi kuitwa hivyo bila kuwa na tabia hizo?!Hauwezi itwa malaya bila kuwa na tabia za aina hiyo!.. Most unakuta wanataka madaraka kwa kulala na wenye kuwapandisha, wanategemea vipi heshimika!.
Mnatakiwa mjiamini, msipende miteremko na mpendane kwanza nyie wenyewe!.
acheni kumnanga Bint wa watu Hilder Newton, hivi kuna dume lolote humu linaweza kusema hadharani hata kwa kutype nyuma ya keybody hayo aliyoyasema au machungu yeyote km sio kujifunika gaguro na mkewe kuogopa migambo au watu wasiojulika?Huyu muhuni tu, kuna siku nimekutana nae anatoka gesti huku Sinza kumekucha.
Hao wanaandamana kutiwa mimba au nini?
Umeniumiza sana ingawa umenipa like. Ukweli ni kuwa mwanamke ukiwa mtetea haki unapendwa na wachache unless uwe upande wa wale waliowengi.
Angalia humu yanayosemwa kwa akina Bulaya na Mdee. Wanaitwa mashoga kisa wanajiamini. Wengine tulifanya kazi mpaka tuka retire bila kupanda cheo kisa kusema ukweli.
hahahah, Kilomeni. hahahahahahahahah
hahahahhahahahahahah, ngoja niwaite hawa wanajf waone hii picha:Wanawake Rombo wakiandamana kupinga wanaume kunywa gongo na kukosa kumbwato!View attachment 1015549
Nilikuwa nikitafakari matukio yanayofanywa na wanawake wa nje. Ghafla nimefika kwa comment yako.Halafu TZ tuna wakina wema sepetu na mwanaharakati super woman Joyce kiria na type za kina gigy money..
Tz tulikosea wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba wanaume Hamna au hawawatokei?Waandamanaji Kenya wakipinga kukosa wanaumeView attachment 1015542View attachment 1015542
Ha ha hawa madai yao nini?Wanawake Sa wakiandamanaView attachment 1015544