Dah kweli we mzee nuksiHalafu TZ tuna wakina wema sepetu na mwanaharakati super woman Joyce kiria na type za kina gigy money..
Tz tulikosea wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah kweli we mzee nuksiHalafu TZ tuna wakina wema sepetu na mwanaharakati super woman Joyce kiria na type za kina gigy money..
Tz tulikosea wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake wa Kibrazili wakiandamana kupinga ubadhirifu kwenye Kampuni ya mafuta nchini humo PETROBRAS.View attachment 1014445View attachment 1014446
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3] laana tu.Halafu TZ tuna wakina wema sepetu na mwanaharakati super woman Joyce kiria na type za kina gigy money..
Tz tulikosea wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamepinda hao mkuuMamaeee hiyo ndio Brazil. Wame vurugwa hao dah ..Brazil hawajahi kuniangusha haha
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah ..Brazil wamevurugwa mnoo ... kuna masimulizi yana sema huko kuna sehemu mpaka wanaume wwnajiuza pia
Hata kutoka tu kuandamana wanachodai inaonesha uthubutu bila kujali matokeoWaliyoona nguvu ya mwanamke inayoongelewa wanisaidie!..
Naona picha za waandamanaji tu ambao hatujui waliweza vipi kubadili walichoandamania!..
anapaka na lipstick kbs,hhahaha ngao kaigeuza kiooJasmina Golubovska akiibusu ngao ya polisi mbele ya Jengo la Serikali huko Macedonia Skopje May 2015.View attachment 1014435
Sent using Jamii Forums mobile app
This is very powerfulMwanamke akikamatwa wakati wa maandamano ya kupinga kuuawa kwa Alton Sterling Louisiana July,2016.View attachment 1014425
Sent using Jamii Forums mobile app
Bongo tungezika huyuJasmina Golubovska akiibusu ngao ya polisi mbele ya Jengo la Serikali huko Macedonia Skopje May 2015.View attachment 1014435
Sent using Jamii Forums mobile app