Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 15,126
- 35,513
- Thread starter
- #61
Hauwezi itwa malaya bila kuwa na tabia za aina hiyo!.. Most unakuta wanataka madaraka kwa kulala na wenye kuwapandisha, wanategemea vipi heshimika!.Brazil Da Silva yupo jela, aliyekuwa Rais baada yake yule mama alishalazimishwa kujiuzulu na kesi zao za utapeli wa mafuta zipo mahakamani.
Wanawake wa shoka kama Miss Bhuto waliishia kula shaba ila hawakuwa na bahati kama Lisu. Achana na wabongo sisi makondoo. Wakitokea wachache wenye uthubutu kama Bibi Titi Mohamed enzi hizo, wanaitwa malaya. Angalia akina Ester Bulaya na Halima Mdee wanavyokaza buti.
Umeniumiza sana ingawa umenipa like. Ukweli ni kuwa mwanamke ukiwa mtetea haki unapendwa na wachache unless uwe upande wa wale waliowengi.Hauwezi itwa malaya bila kuwa na tabia za aina hiyo!.. Most unakuta wanataka madaraka kwa kulala na wenye kuwapandisha, wanategemea vipi heshimika!.
Mnatakiwa mjiamini, msipende miteremko na mpendane kwanza nyie wenyewe!.
Nilichomaanisha most ya wanawake wanapenda kufikia malengo yao kwa kutumia njia mkato!. Hii inapelekea kulala na maboss zao, ni mara ngapi humu na hata bungeni umeisikia kauli ya "wabunge wa viti maalum wanatembea na viongozi wa vyama vyao".Umeniumiza sana ingawa umenipa like. Ukweli ni kuwa mwanamke ukiwa mtetea haki unapendwa na wachache unless uwe upande wa wale waliowengi.
Angalia humu yanayosemwa kwa akina Bulaya na Mdee. Wanaitwa mashoga kisa wanajiamini. Wengine tulifanya kazi mpaka tuka retire bila kupanda cheo kisa kusema ukweli.
Mimi sina data ila yawezekana. Mara nyingi wabunge wote wa kuteuliwa huwa siwatilii maanani maana huwa wengi ni vilaza. Unaweza ona Bulaya anayejitambua alijisimamia akapata jimbo. Mhagama ni mtu ambaye anaongea akidhani anaongea kitu lakini pumba tupu.Nilichomaanisha most ya wanawake wanapenda kufikia malengo yao kwa kutumia njia mkato!. Hii inapelekea kulala na maboss zao, ni mara ngapi humu na hata bungeni umeisikia kauli ya "wabunge wa viti maalum wanatembea na viongozi wa vyama vyao".
Huu ni ukweli ingawa mchungu, sio wote lakini baadhi ya wanawake wenye uongozi wameupata kwa tabia za kimalaya!.
then the list expand 🙂...Mimi sina data ila yawezekana. Mara nyingi wabunge wote wa kuteuliwa huwa siwatilii maanani maana huwa wengi ni vilaza. Unaweza ona Bulaya anayejitambua alijisimamia akapata jimbo. Mhagama ni mtu ambaye anaongea akidhani anaongea kitu lakini pumba tupu.
Huyu muhuni tu, kuna siku nimekutana nae anatoka gesti huku Sinza kumekucha.
Huyu muhuni tu, kuna siku nimekutana nae anatoka gesti huku Sinza kumekucha.
Kuna hii Ruti ya Amba sijui nayo inachkua kurasa za mbele ya magazeti sijajua kwa lipi hasaHalafu TZ tuna wakina wema sepetu na mwanaharakati super woman Joyce kiria na type za kina gigy money..
Tz tulikosea wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulijua kuna misambwanda ndo mana hujaelewa mada.Waliyoona nguvu ya mwanamke inayoongelewa wanisaidie!..
Naona picha za waandamanaji tu ambao hatujui waliweza vipi kubadili walichoandamania!..
Akili zao ziko kwenye masabuliHalafu TZ tuna wakina wema sepetu na mwanaharakati super woman Joyce kiria na type za kina gigy money..
Tz tulikosea wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wa kwetu tu ndio dhaifuHalafu aja mtu na kusema..ati "WANAWAKE ni DHAIFU"