Picha: Ndoa siyo klabu ya mashindano

Picha: Ndoa siyo klabu ya mashindano

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
42,436
Reaction score
50,163
NYENYEKEENI WAUME ZENU: Ndoa nyingi zinaendelea kuvunjika kwa sababu uanaharakati wa kijinsia (feminism) umewafundisha wanawake kwamba hawapaswi kuwanyenyekea wanaume zao. Lakini ukweli ni kwamba, ndoa haikuwahi kuwa kwa ajili ya viongozi wawili. Mara tu mwanamke anapokataa kumruhusu mwanaume kuongoza, msingi wa ndoa huanza kudhoofika. Ndoa si klabu ya mashindano.

1743747618634.png
 
Unfortunately, mwanamke akishakamata pesa hayo yote unayoongea kwake haya make sense. Ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa

View attachment 3292780
 
Inategemea na company na malezi aliyotokea. Kama alilelewa akaona mama ndio anaelekea huko. Huko ndipo ataelekea.

Ni kuomba Mungu ukuane na ambae hata akiwa na pesa yulo ready kusikiliza, submissive.
Usije ukaingia na moenda mashindano, you wont get anywhere
 
NYENYEKEENI WAUME ZENU: Ndoa nyingi zinaendelea kuvunjika kwa sababu uanaharakati wa kijinsia (feminism) umewafundisha wanawake kwamba hawapaswi kuwanyenyekea wanaume zao. Lakini ukweli ni kwamba, ndoa haikuwahi kuwa kwa ajili ya viongozi wawili. Mara tu mwanamke anapokataa kumruhusu mwanaume kuongoza, msingi wa ndoa huanza kudhoofika. Ndoa si klabu ya mashindano.

View attachment 3292780
betty kyalo,mtoto wa kishua namkubali sana huy dada
 
Mshangazi anaitafuta ndoa kwa nguvu.
Pia ndoa sio nyumba ya mateso kwa mtu.
Mateso huwa mara nyingi wanayatafuta wanawake. Wakiyapata wanatugeukia wanaume tuwanasue. Adamu alifanya huo upuuzi kwa mkewe Hawa alipokula tunda nae akala ili wafanane.

Lutu hakufanya huo ujinga. Mkewe alipogeuka wala hakumsemesha wala kumgusa. Alaaaah.

WANAUME HATUKUJA HAPA DUNIA KUPONYA MIOYO ILIYOVUNJIKA (TO HEAL BROKEN HEARTS). Tupo hapa kufurahia maisha. Mtu aje kwako akiwa na moyo wake mzima mfurahie maisha na sio kutibiana majeraha. Mwisho wa siku anakujeruhi na wewe
 
Back
Top Bottom