HIKI KIINGEREZA HIKI!!
Tuliambiwa tuishi nao kwa akili. Ukiona mashindano yanaanza, tumia msemo unaosema aliye juu mgoje chini. Biashara ya ndoa haitaki hasira. Ni game of chance. Huwa hawafiki mbali na kama wasemavyo kusikia kwa kenge hadi atoke damu masikioniInategemea na company na malezi aliyotokea. Kama alilelewa akaona mama ndio anaelekea huko. Huko ndipo ataelekea.
Ni kuomba Mungu ukuane na ambae hata akiwa na pesa yulo ready kusikiliza, submissive.
Usije ukaingia na moenda mashindano, you wont get anywhere
Naaaam, no need ya kukimbizana. Just dont play, baadae wenyewe huwa wanajirudiTuliambiwa tuishi nao kwa akili. Ukiona mashindano yanaanza, tumia msemo unaosema aliye juu mgoje chini. Biashara ya ndoa haitaki hasira. Ni game of chance. Huwa hawafiki mbali na kama wasemavyo kusikia kwa kenge hadi atoke damu masikioni
Akija juu na wewe ukaja juu, mnajenga mbili. Dawa ya moto ni maji. Afterall katika uongozi kuna kitu inaitwa Due diligenceNaaaam, no need ya kukimbizana. Just dont play, baadae wenyewe huwa wanajirudi
Pumbafuuu 🤣 🤣 🤣 🤣Kumbe ulimpanda kabisa huyo Dada? Wapi na lini Mkuu?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Kalpana kwanini hujibu barua yangu ya maombi ya kazi piemu lakini?Pumbafuuu 🤣 🤣 🤣 🤣
Less concerned means they are somehow concerned; isn't it?They are less concerned here
Ngoja nipitie mafaili ya pm nilikua busy sanaKalpana kwanini hujibu barua yangu ya maombi ya kazi piemu lakini?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Mkao wa kusubiri majibu 🙎Ngoja nipitie mafaili ya pm nilikua busy sana