Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,115
Spot on mwana.Hii itawezekana siku serikali ikinunua vitu vinavyolingana na utajiri tulio nao. Tunaposikia mabilioni yamechotwa kupitia EPA, Escrow na IPTL, Symbion, misamaha ya kodi ACACIA, n.k. inakuwa ngumu kuchekelea kuwasili kwa "feni". Ingekuwa AC sawa.
Leo hii nikihamishia robo tatu ya kipato changu kwa mchepuko ukajinunulia "Vogue" halafu nikaleta nyumbani ki-"vitz" na kisha kulalamika kwa nini mke na watoto wangu hawajachekelea eti hawathamini vyetu nitakuwa nawachukulia mazoba sana!
Actually angekua siriaz angenunua madawati au chanjo au kufungua (soma kuwezesha) walau kiwanda kimoja cha kutengeneza vyoo kukarabati uharibifu mkubwa kwenye majengo ya serikali.Magufuli hajui
Mbarawa hajui..
ATCL hawajui....
Masuala ya 'efficiency sisi watu weusi ni kama sio utamaduni wetu
Magufuli angekuwa serious angeleta wazungu kuiendesha hiyo ATCL
Air Tanzania inawateja balaaa, fastjet ni utapeli na ujambaziInteresting.....
tuone 'mapanga shaa' na hizi nani zaidi
View attachment 405754 Kampuni ya ndege ya Fastjet imepanga kuingiza nchini ndege moja jamii ya Embraer 190 ili kukabiliana na hali ngumu ya sasa ya kibiashara.
Jana Mkurugenzi Mkuu wa kampuni hiyo, John Corse amesema ndani ya wiki mbili zijazo wataingiza ndege mpya katika safari zake ikiwa ni sehemu ya majaribio ya kutekeleza mkakati wa mabadiliko C&P MCL.View attachment 405750 View attachment 405751
Asifie upuuzi?Hizi siasa zimetupeleka mbali sana, cha nyumbani hatukijui kabisa, mkuu hizi nguvu ungetumia kusifia cha kwako nadhani tungekuwa mbali. Pole.
Nadhani wameumia kwa ndege kununuliwa badala ya madawati au madawaBAVICHA mmeumia sana kwa ATC kupata ndege mpya eh? Mbona mlikuwa mnaisifia sana Precision Air na ndege zao za mapanga?
Lowassa umemtaja wewe kwa kiwewe. Angeendeleza mazuri kwa kununua chanjo na madawa badala ya kutumia bilioni 120/= kununua hizo mapangashaaMambo ambayo Magufuli ameyafanya muhimbili nayo hamyaoni? Angalia kwenye huduma za afya nchini angalia nidhamu kazini kwa watumishi. Najua strategy ya upinzani ni kupindisha mafanikio ya Magufuli ili aonekane mmbaya kwa wananchi na matokeo yake Lowassa ndio aonekane mwema.
Umenena mambo ya kitaalamu sana jay One.Ungefafanua kwa niaba ya wana jf wasio wataalam wa anga ili tupate mwangaEmbraer 190, E190, Embrear 170, ya Brazil ni hottest cake... in aviation hasa ktk regional flights.. !! Yaani hiyo inaua biashara ya ndege za turbo props kabisa... na ni special for regional flights.. medium and short ranges..!!
Sijui kama Serikali yetu inajua hili..!!
View attachment 405764 View attachment 405766 View attachment 405769 View attachment 405764 View attachment 405766 View attachment 405769 View attachment 405770 View attachment 405771 View attachment 405771View attachment 405771 View attachment 405773
Wewe ni Bavaria kweli!Sitashangaa nikisikia ndege mpya zimepangwa zibebe wajumbe wa CCM kuwapeleka Dodoma.
Wanakata route kwasababu ya 'memo' toka mamlaka ya juu.
Hivi bado wananunua mavi 8? Aisee sikio la kufa ni la kufa tu....... Si ajabu wamenunua ndege badala ya chanjo au madawati.Chanjo za watoto VIP?haya Passport zimeisha huko uhamiaji lakini Land Cruiser V 8 zipo Kibaoo mtaani daah View attachment 406406
Ahaha unachekesha sana. Hivi umefanya tafiti kuhusu huduma za afya au unapiga kilele tu ilimradi upinge kila Kitu?Lowassa umemtaja wewe kwa kiwewe. Angeendeleza mazuri kwa kununua chanjo na madawa badala ya kutumia bilioni 120/= kununua hizo mapangashaa
Hao mawaziri kwani wanafanya kazi gani isipokua kutumiakia taifa hili? So kwa pamoja wangeamua pesa hizo zielekezwe sekta stahili sio kwenye midege ambayo haina msaada wowote kwa mtoto anaekosa chanjoNdio maana ndani ya kila serikali Kuna baraza la mawaziri. Kila wizara huwa inafanya thamini ya nini cha kufanya ndio wanafanya. Kwa raisi huyu na baraza lake la mawaziri watatufikisha pazuri sana. Suala la madawati ni wizara nyingine kabisa ambayo nayo so far imeshafanya vizuri sana kutatua tatizo la madawati na bado wanaendelea.
Noma sanaLipo daraja lajengwa kuanzia mwakani coco beach kuunganisha Aghakani kupitia sarenda
Isingekufa kama ilikua na wateja balaa...... au labda 'ubalaa' wa hao wateja ndo umeiuaAir Tanzania inawateja balaaa, fastjet ni utapeli na ujambazi
Utapanda wewe ndege za pangaboi kwenda kwenu Bukoba, ndege za Jet tuachie sisi.Mtasema sana aisee ila ndio zimeshanunuliwa, kama huzitaki nunua za kwako na familia yako
Labda we huumwagi. Mi nazungumzia hali halisi hospitali za serikali hazina chanjo ya pepopunda. Unajua umuhimu wa hiyo chanjo? Achia mbali za kichaa cha mbwa na upungufu wa madawa.Ahaha unachekesha sana. Hivi umefanya tafiti kuhusu huduma za afya au unapiga kilele tu ilimradi upinge kila Kitu?
Shirika lilishakufa hata mkinunuliwa ndege 1000.Semeni msemavyo.... ndege ni zetu.Heri tisa kibindoni kuliko kumi nenda urudi.Tumeanza na hizo na tutafanikiwa tu..kwani penye nia pana njia.Inshaalah...
mapanga shaa atakuwa na wakati mgumu .