Wakuu habari,
Hizi ni baadhi ya picha na video za Mgombea Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Professa Kitila Mkumbo akipita mtaani kusaka kura kutoka kwa wananchi kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025
Je, ataendelea na muenendo huu wa kufanya ziara Mtaani katika Jimbo lake hata baada ya kupewa ridhaa na wananchi kuwaongoza na kutatua kero zao?
Basi tubaki na hii kama kumbukumbu
Soma pia

- GE2025 - Kitila Mkumbo ajibu maswali na kusoga ugali wakati wa kuomba kura
- GE2025 - Kitila Mkumbo aomba kura kwenye daladala
- GE2025 - Profesa Mkumbo azisaka kura hadi kwenye mabanda ya kubeti, Je ataendelea kuwatembelea akiupata ubunge?