PICHA na Maelezo: Yaliyojili Mkutano wa Nape na Mwigulu hapa Igunga

asante sana kibogo kwa habari hii na picha hizi zinazoonyesha wazi kuwa CCM imefilisika baada ya kuwaambia watu wamefanya nini wanatukana matusi. once again mr.kibogo thanks for the info.
 
Mwigulu has another type of disease called " The highest and classic stage of stupidity in order".
 
Mtoto umleavyo, ndivyo akuavyo. Hao ndio vijana wa ccm, na bila aibu tunaambiwa ni wakati wa vijana kuongoza!

CCM inabidi wajiulize, hivi muasisi wa chama chao Mwl Nyerere angekuwepo leo, angesema nini kuhusu lugha, sera (matusi) ya vijana wa ccm kama huyu Nchemba?
 
Aweke video tusikie. Aweke na picha anapohutubia. Anatuwekea picha kabla ya Mkutano. Kama si uongo ni nini?

Na hiyo picha ya watu wanaoondoka imepigwa mkutano haujaanza...??

Ebu tuwekee za kwako ambazo ni za kweli...
 
attachment.php

attachment.php

watu waliohudhuria

attachment.php

attachment.php

Watu wakiondoka kwenye mkutano baada ya Mwigulu kutoa maneno yasiyofaa juu ya Dr. Slaa

attachment.php

Moja ya malori yaliyotumika kukusanyia watu kutoka vijijini likisubiri abiria mkutano ukiisha

Leo Mwigulu na Nape waliitisha mkutano Igunga na kutoa hutuba kwa wananchi, wameongea mengi ambayo hayakuwa na tija kwa wanachi wa Igunga na Taifa labda yalikuwa na tija kwa Chama.

Wamesema mengi lakini naorodhesha machache aliyozungumza Mh. Mwigulu:

1. Dr. Slaa ni mzinzi na alimpa mimba mtoto wa shule (baada ya kauli hii watu wengi waliondoka kwenye mkutano)
2. Wakialikwa sehemu watu wenye ndoa Dr. Slaa hatahudhuria
3. Kale kazee (Dr. slaa) kanakula kwa kutembea tembea
4. Yule mzee (Dr. slaa) wazee wenzake wamebaki majumbani wanalea wajukuu yeye kuzurura tu
5. CDM wanategemea mtaji wa mauaji katika mikutano yao ?????????
6. Hata kama uchaguzi ukirudiwa igunga lazima washinde kwani timu ni ile ile ya ushindi
7. Lengo la CDM kukata Rufaa ilikuwa ili Kafumu hasiweze kutekeleza Ilani ya CCM
8. Aliuliza wananchi eti kunakosa hata moja Kafumu kalifanya hadi kuvuliwa ubunge ( Walikaa kimya)
9. Kafumu hakufanya kosa lolote - eti kosa nyie kupewa chakula, eti kosa nyie kujengewa daraja
10. Mnamshangilia Dr. slaa wakati ameikimbia Familia
11. Mnamshangilia Kasulumbai mnajua historia yake anakotoka, Akimwangalia tu mtoto wako anakufa.

Jamani hayo ndiyo maneno ya Mwigulu, naomba tuchangie yanatija na mstakabari wa taifa hili?

Nawasilisha
MWIGULU+NAPE+JK= kifo cha CCM , nakumbuka rahisi JK aliwahi kutabiri kwamba ccm inaweza kumfia , sasa naona sera hawana wamebaki siasa za maji taka
 
Aweke video tusikie. Aweke na picha anapohutubia. Anatuwekea picha kabla ya Mkutano. Kama si uongo ni nini?
Thomaso vipi wewe? picha zinajieleza vy kutosha na huyu aliyeleta taarifa alikuwa huko haya basi kama huamini tuambie wewe sasa wamesema nini? Mi nafikiri ndugu zangu huyu Mwigulu mi simshangai kwani hana akili na nafikiri madaraka aliyopewa yamemlevya. Sishangai sana kwa ni ni repeater wa standard seven so akili yake ni nzito sana kupambanua vitu. Na akumbuke kuwa huko aliko wanamtumia kama mua siku utamu ukiisha watamtema na wala hawatamjali sasa kazi zenyewe za siasa hizi sijui atakimblia wapi. Ila dawa yake inachemka ajiandaie labda kupewa ubunge wa kuchaguliwa nafasi maalumu za upendeleo wa kupigiwa kura ausahau. "LIWALO NA LIWE":angry::laser::target:
 
attachment.php

attachment.php

watu waliohudhuria

attachment.php

attachment.php

Watu wakiondoka kwenye mkutano baada ya Mwigulu kutoa maneno yasiyofaa juu ya Dr. Slaa

attachment.php

Moja ya malori yaliyotumika kukusanyia watu kutoka vijijini likisubiri abiria mkutano ukiisha

Leo Mwigulu na Nape waliitisha mkutano Igunga na kutoa hutuba kwa wananchi, wameongea mengi ambayo hayakuwa na tija kwa wanachi wa Igunga na Taifa labda yalikuwa na tija kwa Chama.

Wamesema mengi lakini naorodhesha machache aliyozungumza Mh. Mwigulu:

1. Dr. Slaa ni mzinzi na alimpa mimba mtoto wa shule (baada ya kauli hii watu wengi waliondoka kwenye mkutano)
2. Wakialikwa sehemu watu wenye ndoa Dr. Slaa hatahudhuria
3. Kale kazee (Dr. slaa) kanakula kwa kutembea tembea
4. Yule mzee (Dr. slaa) wazee wenzake wamebaki majumbani wanalea wajukuu yeye kuzurura tu
5. CDM wanategemea mtaji wa mauaji katika mikutano yao ?????????
6. Hata kama uchaguzi ukirudiwa igunga lazima washinde kwani timu ni ile ile ya ushindi
7. Lengo la CDM kukata Rufaa ilikuwa ili Kafumu hasiweze kutekeleza Ilani ya CCM
8. Aliuliza wananchi eti kunakosa hata moja Kafumu kalifanya hadi kuvuliwa ubunge ( Walikaa kimya)
9. Kafumu hakufanya kosa lolote - eti kosa nyie kupewa chakula, eti kosa nyie kujengewa daraja
10. Mnamshangilia Dr. slaa wakati ameikimbia Familia
11. Mnamshangilia Kasulumbai mnajua historia yake anakotoka, Akimwangalia tu mtoto wako anakufa.

Jamani hayo ndiyo maneno ya Mwigulu, naomba tuchangie yanatija na mstakabari wa taifa hili?

Nawasilisha

duu ni kweli au ?? Duuh ccm kwisha kazi
 
Thomaso vipi wewe? picha zinajieleza vy kutosha na huyu aliyeleta taarifa alikuwa huko haya basi kama huamini tuambie wewe sasa wamesema nini? Mi nafikiri ndugu zangu huyu Mwigulu mi simshangai kwani hana akili na nafikiri madaraka aliyopewa yamemlevya. Sishangai sana kwa ni ni repeater wa standard seven so akili yake ni nzito sana kupambanua vitu. Na akumbuke kuwa huko aliko wanamtumia kama mua siku utamu ukiisha watamtema na wala hawatamjali sasa kazi zenyewe za siasa hizi sijui atakimblia wapi. Ila dawa yake inachemka ajiandaie labda kupewa ubunge wa kuchaguliwa nafasi maalumu za upendeleo wa kupigiwa kura ausahau. "LIWALO NA LIWE":angry::laser::target:

Uongo mtupu.
 
attachment.php

Kama hadi huyu ameondoka ujue kazi yao imeisha sasa watabaki kuwa wapinzani baada ya 2015.
 
Hata hivyo nawashangaa hao watu kama ishirini waliohudhuria akili zao zikoje nao wanatakiwa kupimwa
 
Mlitegemea nini kutoka kwa kijana anayeshabikia CCM!! Kitendo cha kushabikia CCM ni alama tosha kuwa mtu huyo hana akili timamu. Achana na hao wendawazimu
 
Back
Top Bottom