PICHA na Maelezo: Yaliyojili Mkutano wa Nape na Mwigulu hapa Igunga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PICHA na Maelezo: Yaliyojili Mkutano wa Nape na Mwigulu hapa Igunga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kibogo, Sep 9, 2012.

 1. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,481
  Likes Received: 790
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  [​IMG]
  watu waliohudhuria

  [​IMG]
  [​IMG]
  Watu wakiondoka kwenye mkutano baada ya Mwigulu kutoa maneno yasiyofaa juu ya Dr. Slaa

  [​IMG]
  Moja ya malori yaliyotumika kukusanyia watu kutoka vijijini likisubiri abiria mkutano ukiisha

  Leo Mwigulu na Nape waliitisha mkutano Igunga ambao Mwigulu pekee ndio alifika na kutoa hutuba kwa wananchi, ameongea mengi ambayo hayakuwa na tija kwa wanachi wa Igunga na Taifa labda yalikuwa na tija kwa Chama chake.

  Amesema mengi lakini naorodhesha machache aliyozungumza Mh. Mwigulu:

  1. Dr. Slaa ni mzinzi na alimpa mimba mtoto wa shule (baada ya kauli hii watu wengi waliondoka kwenye mkutano)
  2. Wakialikwa sehemu watu wenye ndoa Dr. Slaa hatahudhuria
  3. Kale kazee (Dr. slaa) kanakula kwa kutembea tembea
  4. Yule mzee (Dr. slaa) wazee wenzake wamebaki majumbani wanalea wajukuu yeye kuzurura tu
  5. CDM wanategemea mtaji wa mauaji katika mikutano yao ?????????
  6. Hata kama uchaguzi ukirudiwa igunga lazima washinde kwani timu ni ile ile ya ushindi
  7. Lengo la CDM kukata Rufaa ilikuwa ili Kafumu hasiweze kutekeleza Ilani ya CCM
  8. Aliuliza wananchi eti kunakosa hata moja Kafumu kalifanya hadi kuvuliwa ubunge ( Walikaa kimya)
  9. Kafumu hakufanya kosa lolote - eti kosa nyie kupewa chakula, eti kosa nyie kujengewa daraja
  10. Mnamshangilia Dr. slaa wakati ameikimbia Familia
  11. Mnamshangilia Kasulumbai mnajua historia yake anakotoka, Akimwangalia tu mtoto wako anakufa.

  Jamani hayo ndiyo maneno ya Mwigulu, naomba tuchangie yanatija na mstakabari wa taifa hili?

  Nawasilisha
   

  Attached Files:

 2. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  Nisichoelewa ni kwamba huyu mchumi anafanya nini BoT? jamaa purely ni Propagandalist!!
   
 3. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #3
  Sep 9, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Asante Mwigula kwa kuzidi kuididimiza nyinyiemu. Aliyepanga mungu nanai wa kuondoa? RIP CCM,
   
 4. melxkb

  melxkb JF-Expert Member

  #4
  Sep 9, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 206
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nawapongeza wananchi wa Igunga kwa kutokukubali kupotezewa mda na kuamua kwenda kufanya kazi zao.

  Hongera sana wananchi wa Igunga.
   
 5. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #5
  Sep 9, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wananchi wanataka maisha bora si porojo za vijiweni.
   
 6. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #6
  Sep 9, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Uongo mtupu!
   
 7. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #7
  Sep 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  stupidity ni ugonjwa
   
 8. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #8
  Sep 9, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 940
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Achana nao hao hawana jipya lazima uchaguzi mpya ukifanyika hao magamba hawawezi kushinda.
   
 9. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #9
  Sep 9, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Nape anajishushia hadhi kwa kuonekana na huyo jambazi/mafia
   
 10. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #10
  Sep 9, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  another sick person, caught live! pathetic! rip ccm!
   
 11. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #11
  Sep 9, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mwigulu na Nape wameonyesha jinsi ujana wao ulivyokuwa hauna tija. Wanaongea mambo ya kipuuzi na fikra zao mgando. Wote wanatoka huko wilaya ya Iramba.

  Sijui hii imekuwa na nuksi gani kuzalisha kizazi kilicholaaniwa kikaacha kutumia akili na uhalisia na kujikita kwenye njozi. Hivi kuna mzinzi kama Mwigulu ambaye aliponea chupuchupu kuumbuka Igunga?

  Kama ni uzinzi na ubabu basi akamuulize bosi wake ambaye ana kila aina ya watoto toka mama mbali mbali kiasi cha kuogopa hata kutaja idadi ya watoto walio nao. Akawaulize akina Wassira na Masaburi waliojirundikia vimada kama hawana akili nzuri.

  Mwigulu na Nape wanapaswa kuongelea issues badala ya personalities. Hii ni dalili ya kuchakaa na kufilisika kifikra.
   
 12. Manyi

  Manyi JF-Expert Member

  #12
  Sep 9, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 3,256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Wanajisumbua tu, CCM haina mvuto, zaidi anajiahibisha tu na maneno ya kitoto!
   
 13. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #13
  Sep 9, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,012
  Trophy Points: 280
  R.I.P chichiem. Tulikupenda enzi zako lakini sasa kuzimu imekupenda zaidi.
   
 14. N

  NGOWILE JF-Expert Member

  #14
  Sep 9, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 454
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Huyu ndiye mwigulu mchumba
   
 15. M

  MLERAI JF-Expert Member

  #15
  Sep 9, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 673
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Labda hakujua yupo wapi alidhani yupo kwenye taarabu Au anaongea na wale walevi wake
   
 16. S

  STIDE JF-Expert Member

  #16
  Sep 9, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ngoja waje kukanusha!!

  Eti Mwigulu nae anaongelea uzinzi!!
   
 17. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #17
  Sep 9, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kwa bahati mbaya hata tukio hili hawatalisoma kwa usahihi. Inasikitisha sanaaaaa....
   
 18. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #18
  Sep 9, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Mkuu tujuze ukweli Wa Kilichozungumzwa huko Kama mleta mada amesema uongo
   
 19. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #19
  Sep 9, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,481
  Likes Received: 790
  Trophy Points: 280
  Zomba usibishe vitu ambavyo haujavisikia huo ni ukweli mtupu hakuna uongo hapo.
   
 20. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #20
  Sep 9, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Aweke video tusikie. Aweke na picha anapohutubia. Anatuwekea picha kabla ya Mkutano. Kama si uongo ni nini?
   
Loading...