PICHA na Maelezo: Yaliyojili Mkutano wa Nape na Mwigulu hapa Igunga

Picha hazielezei uhalisia wa tukio lenyewe, hakuna hata sehemu moja mwigulu alipoonekana akihutubia watu hao wanaosemekana wanaondoka,uongo siyo mzuri sana unajidanganya mwenyewe. Ukitaka kuunganisha story next day unganisha picha na watu pia wahojiwe maoni yao upate kamili. Sawa cdm ina nguvu lakini msiivalishe nguo ambayo siyo yake mwisho itabana. Mapenzi ni ugonjwa ukiyandekeza, penda kiasi. CDM ni kiboko lakini siyo unavyotaka kuonyesha uhalisia.
 
Na hiyo picha ya watu wanaoondoka imepigwa mkutano haujaanza...??

Ebu tuwekee za kwako ambazo ni za kweli...

attachment.php
 
jamani kwani sisi wageni hatujui kuwa ccm hawana hoja?kawaida ya mkosa hoja ni matusi na kujitahidi kukashfu ili akubalike ,,,,,,ila wamechelewa kwani watanzania wanaelewa
 
Hizi ni dalili za wazi za wana siasa waliofirisika! Ninaposoma hayo wasemayo, namkukumbuka yule bwana aliyesema kuwa wabunge wana fikiri kwa kutumia maka............! Naanza kuaminiamini maneno ya huyo kizito wa CCM! Tuwasikilize, tuwapuuze na tusonge mbele kuipigania TZ yetu jamani.
 
Nawaona wazee na akinamama wa kutosha kijana hawez poteza muda kuja na ndio maana mnawabeba kwenye maroli na nina wasiwas hzo picha sio za mwaka 2004 kwel?

Kwanza mlikuwa mnasema kama ni uongo, leta ukweli, tunaweletea ukweli mmezuwa lingine.

Kama huwaoni vijana amma umeshaianza wikiendi mapema amma macho yako ni kama ya...
 
Kwanza mlikuwa mnasema kama ni uongo, leta ukweli, tunaweletea ukweli mmezuwa lingine.

Kama huwaoni vijana amma umeshaianza wikiendi mapema amma macho yako ni kama ya...
kama yupo kijana alifata ubwabwa na kupanda gar la bure si unajua wengine tangu wazaliwe hawajawah kupanda gari.
 
Kwanza mlikuwa mnasema kama ni uongo, leta ukweli, tunaweletea ukweli mmezuwa lingine.

Kama huwaoni vijana amma umeshaianza wikiendi mapema amma macho yako ni kama ya...
Leta na maelezo aliyoongea siku hiyo maana naona we ni mdandia mada.
 
Picha hazielezei uhalisia wa tukio lenyewe, hakuna hata sehemu moja mwigulu alipoonekana akihutubia watu hao wanaosemekana wanaondoka,uongo siyo mzuri sana unajidanganya mwenyewe. Ukitaka kuunganisha story next day unganisha picha na watu pia wahojiwe maoni yao upate kamili. Sawa cdm ina nguvu lakini msiivalishe nguo ambayo siyo yake mwisho itabana. Mapenzi ni ugonjwa ukiyandekeza, penda kiasi. CDM ni kiboko lakini siyo unavyotaka kuonyesha uhalisia.
Unapokuwa haujui ukweli wa jambo na hususani upo mbali na tukio usipende kubishana na ukweli, waliokuwepo hakuna anayebisha ukweli huu isipokuwa nyie mlio mbali. kaa ukijua ukweli ndo huo na watu wengi waliondoka kwa uchache wao ndo hao unaowaona kwenye picha, na maneno hayo yaliyoandikwa yamenukuliwa kutoka kwa mtoa hutuba.
 
attachment.php

attachment.php

watu waliohudhuria

attachment.php

attachment.php

Watu wakiondoka kwenye mkutano baada ya Mwigulu kutoa maneno yasiyofaa juu ya Dr. Slaa

attachment.php

Moja ya malori yaliyotumika kukusanyia watu kutoka vijijini likisubiri abiria mkutano ukiisha

Leo Mwigulu na Nape waliitisha mkutano Igunga ambao Mwigulu pekee ndio alifika na kutoa hutuba kwa wananchi, ameongea mengi ambayo hayakuwa na tija kwa wanachi wa Igunga na Taifa labda yalikuwa na tija kwa Chama chake.

Amesema mengi lakini naorodhesha machache aliyozungumza Mh. Mwigulu:

1. Dr. Slaa ni mzinzi na alimpa mimba mtoto wa shule (baada ya kauli hii watu wengi waliondoka kwenye mkutano)
2. Wakialikwa sehemu watu wenye ndoa Dr. Slaa hatahudhuria
3. Kale kazee (Dr. slaa) kanakula kwa kutembea tembea
4. Yule mzee (Dr. slaa) wazee wenzake wamebaki majumbani wanalea wajukuu yeye kuzurura tu
5. CDM wanategemea mtaji wa mauaji katika mikutano yao ?????????
6. Hata kama uchaguzi ukirudiwa igunga lazima washinde kwani timu ni ile ile ya ushindi
7. Lengo la CDM kukata Rufaa ilikuwa ili Kafumu hasiweze kutekeleza Ilani ya CCM
8. Aliuliza wananchi eti kunakosa hata moja Kafumu kalifanya hadi kuvuliwa ubunge ( Walikaa kimya)
9. Kafumu hakufanya kosa lolote - eti kosa nyie kupewa chakula, eti kosa nyie kujengewa daraja
10. Mnamshangilia Dr. slaa wakati ameikimbia Familia
11. Mnamshangilia Kasulumbai mnajua historia yake anakotoka, Akimwangalia tu mtoto wako anakufa.

Jamani hayo ndiyo maneno ya Mwigulu, naomba tuchangie yanatija na mstakabari wa taifa hili?

Nawasilisha
Sasa wewe ulitegemea huyo zuzu aongee mambo gani zaidi ya hayo.Huko si ndo alifumaniwa na mke wa kada mwenzie? hana hoja na kama watarudi tena Igunga na mwenzie (Kibajaji) tunashangilia ushindi, manake siku hizi watanzania hawapo tayari kusikiliza mitusi yao.
 
Aweke video tusikie. Aweke na picha anapohutubia. Anatuwekea picha kabla ya Mkutano. Kama si uongo ni nini?
Mbona hata kwenye taarifa za habari hawaonyeshi amezungumza nini?? ni kwasababu ya hizo pumba ndo maana hata kwenye news hakuna coverage ya hivyo vijimikutano vyao.
 
HIZI PICHA MLIZIONDOA HARAKA KUWAHIFADHI CHADEMA SASA WAKUMBUSHENI. NI MKUTANO ALIFANYA LEMA TABATA DAR-ES-SALAAM NA HAKUPATA WATU TANGU HAPO HAJAWAHI KUKANYAGA TENA DAR-ES-SALAAM KWA WAJANJA


 
Sorry!hizi ndo zilikuwa agenda za kuwaleta watu na malori?

Kama ndio,Agenda 1, 2 na 10 mhutubiaji hakujipanga kuelezea ila zilikuwa zinakuja tu kichwani na kuziongea bila kuona kama zitakinzana au laaa?!
 
Hivi huyu jamaa kasoma wapi na elimu yake mbona haimsaidii hata kidogo yaani na kusoma huko lkn hana hata ule ustaarabu sasa si juzi tu alishasahau kuwa ALIFUMANIWA NA MKE WA MTU TENA KADA WA CCM HAPO HAPO IGUNGA iweje leo asema Dr Slaa ni mzinzi Lol kweli tutaona mengi huenda huyu jamaa ana matatizo ya akili wote twafahamu wagonjwa wa akili walivyo si lazima waokote makaratasi njiani lakini kwa mtu muelewa wa mambo huyu jamaa ana walakini anahitaji THERAPY huu ni ushauri wa bure kwa MWINGULU MCHEMBA aisee watu wake au yy mwenyewe hebu zingatia huu ushauri,kama mnafahamu kuwa ukifanya kazi kwa Hospital za wagonjwa wa akili huwaga akili kama zinachomoka kidogo sawa na ukiwa mwanachama wa CCM lazima akili ziende upande Lol
 
Back
Top Bottom