Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,026
- 20,511
Asante sana mkuu kwa taarifa, heri nifuatilie hapa nitapata afya ya akili kuliko nimfuatilia bwana James Luhanga
Asante sana mkuu kwa taarifa, heri nifuatilie hapa nitapata afya ya akili kuliko nimfuatilia bwana James Luhanga
Arusha imeharibika kwa sababu ya huyu lemaaa
Mheshimiwa Nanyaro anasema ya kwamba mgambo wote hapa jijini amegundua ya kwamba ni watumishi wa ccm wote!
Anasema ya kwamba leo asubuhi wamemkamata mama mmoja pale soko kuu na wakamnyang'anya maandazi yapta 80 na wakala yote!
Mi nipo dar wakuu wekeni mapicture arifu
Kweli watu washamchoka Lema..... Siku za nyuma lema akiwa na mkutano Arusha nzima inasimama lakini leo naona watu wanaendelea na mishemishe kama kawaida.
ccm wabaya jaman
Kilichokuleta kwenye hii thread nini? Lema atakuletea mdogo wako tena kama unabisha muulize mama yakoTupo ukumbi wa PTA kumsikiliza mkuu wa nchi, huyo kilema baadae