Picha na maelezo: Kikao cha Marafiki Wa Regia BC

Picha Zaidi:

attachment.php



attachment.php



attachment.php



attachment.php



attachment.php
 

Attachments

  • DSC00024.jpg
    DSC00024.jpg
    71.9 KB · Views: 3,134
  • DSC00050.jpg
    DSC00050.jpg
    65.4 KB · Views: 3,123
  • DSC00019.jpg
    DSC00019.jpg
    41.1 KB · Views: 3,132
  • DSC00063.jpg
    DSC00063.jpg
    32.1 KB · Views: 3,096
  • DSC00062.jpg
    DSC00062.jpg
    29.3 KB · Views: 3,093
Asante sana nashukuru mkuu kwa kujali uwepo wetu, nimefurahi kujiona hapa jukwaani maana mimi hupaona kama zuria jekundu lenye heshima na wajihi!

Hima ndugu zangu tulio kwenye ile kamati ya mpito tukutane kwa utekelezaji, hata wale tulio ahidi chochote juhudi za ukusanyaji michango zifanyike, nakumbuka vema tuliacha namba za simu pale, basi zitumike kuwasiliana kwa ukusanyaji wa michanga ya ahadi!
 
kuna watu wanasikitisha sana katika hiyo picha kuliko marehemu aliyetangulia. Poleni sana.

umeoooonaaa eeehhh nilikusubiri kweliiiiii kwa hamu sikukuona ilibidi nipige kibarakashia kwa ajili yako mzazi
 
natumia nafasi hii kuwapongeza walioudhuria kikao mubalikiwe.

we mpogolo nini mubalikiwe maanake nini
sema mbarikiwe bana anyway najua bado una machungu na dadaetu regia ata kiswahili akitaki kukaasawa
 
attachment.php

Maxence Melo on the left, kulia sijui ni mwana JF yupi, baba mzazi wa marehemu?

attachment.php



Asha Dii? Ama was she joking?Nakumbuka alisema this was her...AKA Condi Rice lol
 
Kwani kuna mada nyingine humu zaidi ya kujadili hizi picha tulizowekewa humu. Mwacheni FF nyie atoe tathmini yake. Kikao watu wamenuna kama wanapigwa vile!!!!!
 
Huyo unayemuona na Mkuu Maxence Mello hapo mbele ni Baba yetu kwa Mhe Regia.

attachment.php

Maxence Melo on the left, kulia sijui ni mwana JF yupi, baba mzazi wa marehemu?

attachment.php



Asha Dii? Ama was she joking?Nakumbuka alisema this was her...AKA Condi Rice lol
 
Back
Top Bottom