Elineema J Mosi
JF-Expert Member
- May 17, 2013
- 808
- 148
Ndugu wana Jf,
Nipo hapa uwanjani Ngarinaro, Arusha tunasubiri viongozi wafike niwape updates. Leo Chadema wanazindua kampeni za Udiwani kwa kata 4 zilizotangawa.
Kwa sasa Chopa inapita Arusha nzima wakitupa vipeperushi vyenye picha za wagombea. Bado viongozi hawajafika uwanjani. Ila tayari wagombea wawili wameshawasili, na wengine wawili ndio wamekwenda kuwachukua.
=============================
Picha ya mkutano hapo Ngarinaro
=============================
................