Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 56,952
- 46,442
Mimi,pamoja na Watanzania wengi bado hatujaona kwamba CCM ina matatizo,ndiyo maana bado ipo madarakani.
Unachosema ni ukweli mtupu.
Mimi,pamoja na Watanzania wengi bado hatujaona kwamba CCM ina matatizo,ndiyo maana bado ipo madarakani.
Jamani acheni kumdhalilisha baba wa watu,hao waliotajwa ni watoto halali wa mama Maria.Mzee hakuwa mtu wa kuruka ruka huyo Yericho si atasema mwenyewe.Halafu ni vyema kabla kuweka neno Nyerere initial name ni muhimu pale kati kuondoa taharuki hapa jamvini.Umemsahau wa tisa ni Yericko Nyerere
Mkuu Watanzania wengi wangapi? Mwaka 2010 Watanzania tulikuwa wangapi kwa makadirio? na ni Watanzania wangapi tulipiga kura? Je ni Watanzania wangapi waliopia kura CCM? Mwisho ni Watanzania wangapi ambao wahakupiga kura? Na unadhani ni kwa nini hawakupiga kura?
kwa unawapangia watu ukoo wao? We ni balaa!Mnatumia jina la Nyerere eti familia ya Nyerere.....kumbe mtoto wa Joseph Nyerere! Joseph Nyerere kwa Nchi hii ana umaarufu gani kama sio kulima viazi pale butiama? Familia ya Nyerere kwa kuamanisha Mwl Julius Nyerere ni akina Madara,makongoro,rose na wengine na sio hao machola wengine mnaotaka kuwapaisha kwa jina la baba yao mlima Viazi Joseph Nyerere! Acheni propaganda za kishamba
Mkuu Ritz,babu alioteshwa usishindane na nguvu ya ndoto.Watanzania tulipiga kura na CCM wakashinda Chadema wakasema wameibiwa kura lakini hawasemi wameibiwaje.
Chadema bana,hivi mtu akijiunga tu na chama chenu mnaenda kumfungulia tawi barazani kwake? siku likiitwa tawi fulani la Mwananyamala anajitokeza mtu na mkewe,Ha haaa haaaaaa
Mkuu Ritz,labda kwa Manjunju.Nimeuliza Mwl Nyerere alikuwa na nyumba Mwananyamala, na kama anayo ni Mwananyamala ipi Kisiwani, kwa Kopa, Manjunju, kwa Mama Zakaria.
Mwalimu Nyerere amefariki ameacha watoto saba tu.
1) Andrew Nyerere
2) Anna Nyerere
3) Magige Nyerere
4) John Nyerere
5) Makongoro Nyerere
6) Madaraka Nyerere
7) Rosemary Nyerere
Hao wengine wanaotumia jina la Nyerere watakuwa wanandungu wa Butiama tu au Makoko.
CC. Kimbunga, Pasco, Mingoi, Mlengo wa Kati, Ng'wamapalala, Butola,
Mrengo wa kati,hata kama sio mtoto wa nyerere wewe kinakuuma nini?
What so special?????? Inakuuma nini mtoto wa kiume????
Mwalimu Nyerere amefariki ameacha watoto saba tu.
1) Andrew Nyerere
2) Anna Nyerere
3) Magige Nyerere
4) John Nyerere
5) Makongoro Nyerere
6) Madaraka Nyerere
7) Rosemary Nyerere
Hao wengine wanaotumia jina la Nyerere watakuwa wanandungu wa Butiama tu au Makoko.
CC. Kimbunga, Pasco, Mingoi, Mlengo wa Kati, Ng'wamapalala, Butola,
Wewe ni mpuuzi na mwenye laana ya kuzaliwa kweli, haya kamchagulie baba yake awe nani?
Mkuu Jogi, nakubaliana na wewe kabisa Nyerere siyo lazima Juliasi, ila kwa Tanzania jina la Nyerere ni iconic name inayowakilisha Mwalimu. Kama vile ukisema tuu Mwanafamilia wa Kikwete au Mkapa bila kuwa specific Kikwete yupi, au Mkapa yupi, first reference ya wengi ni kwa big names!, ndio maana nimemweleza Mzee wa Kwembe Kati kuwa yuko very right, alipaswa awe specific, Mwanafamilia wa Joseph Nyerere Ajiunga Chadema!.Pasco nini sababu ya ufafanuzi wako? au umesoma shule moja na jobu ndugai. ni heri ungekaa kimya kuliko ulivyofanya, UJUE NYERERE SIYO JULIUS.
Kumbe Mwalimu alikuwa na nyumba Mwananyamala.
Anaishi Mwananyamala ipi kwa Kopa, Manjunju, Kwa Mama Zakaria, Kisiwani.
Thubutuu!! Wewe unafikiri hakumbuki yaliyomsibu kipindi kile cha uchaguzi kule Arumeru East!!?Yuko Wapi Mkapa?
Mimi ni CCM,Chama kinachosema binadamu wote ni ngugu zangu na Afrika ni moja.
Mimi,pamoja na Watanzania wengi bado hatujaona kwamba CCM ina matatizo,ndiyo maana bado ipo madarakani.
Kuna jibu zuri sana alilitoa Madaraka Nyerere kumjibu Mkapa aliposema Vicent Nyerere sio mtoto wa Nyerere. Litafute ulirudie kulisoma upate kuelimika.Watoto wa Nyerere wanajulikana hii tabia ya ktumia majina ya wa tu kwa umaarufu haifai,Esther na Lilian Wasra nao walijifanya kama watoto wa Wasra kumbe ni geresha,sasa Mzee Joseph Nyerere nae ni nani katika nchi hii hadi mtoto wake apewe coverage kisa kujiunga na Chadema! Au mnatumia Jina la Nyerere kujifanya kama ni watoto wa Mwl Nyerere!
Inategemeana description ya familia unayoijua ni ipi kati ya ile ya kizungu (yaani baba, mama na watoto wa kuwazaa mweyewe) au ya kiafrika?Mkuu Jogi, nakubaliana na wewe kabisa Nyerere siyo lazima Juliasi, ila kwa Tanzania jina la Nyerere ni iconic name inayowakilisha Mwalimu. Kama vile ukisema tuu Mwanafamilia wa Kikwete au Mkapa bila kuwa specific Kikwete yupi, au Mkapa yupi, first reference ya wengi ni kwa big names!, ndio maana nimemweleza Mzee wa Kwembe Kati kuwa yuko very right, alipaswa awe specific, Mwanafamilia wa Joseph Nyerere Ajiunga Chadema!. Kitendo cha Kuandika tuu Mwanafamilia wa Nyerere, wengi tulienda moja kwa moja kwa Juliasi!.
Pasco.