Picha: Mwingine familia ya Nyerere ajiunga CHADEMA

Picha: Mwingine familia ya Nyerere ajiunga CHADEMA

Watoto wa Nyerere wanajulikana hii tabia ya ktumia majina ya wa tu kwa umaarufu haifai,Esther na Lilian Wasra nao walijifanya kama watoto wa Wasra kumbe ni geresha,sasa Mzee Joseph Nyerere nae ni nani katika nchi hii hadi mtoto wake apewe coverage kisa kujiunga na Chadema! Au mnatumia Jina la Nyerere kujifanya kama ni watoto wa Mwl Nyerere!

Hapo imeandikwa huyo ni mtoto wa Joseph Nyerere,siyo Mwalimu Nyerere.
 
Francis Joseph Nyerere, ambaye ni kitindamimba wa Mzee Joseph Nyerere, amepandisha bendera ya Chadema nyumbani kwao, Mwananyamala jijini Dar es Salaam. Katika picha hii ni wa kwanza kushoto mwa bendera.

Kushoto kwake ni Mpiganaji Tundu Lissu wakati wa uzinduzi wa Tawi hilo. Francis anaungana na Vincent ambaye ni mbunge wa Musoma Mjini (Chadema).
Mkuu Mzee wa Kwembe Kati, uitaja tuu jina la Nyerere, kwa wengi wetu tunahesabu ni familia ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, hivyo ukisema familia ya Nyerere bila ku specify, ref ya wengi wetu watadhani ni familia ya Mwalimu kumbe ni ya Jose!.

Please be specific isije kuwa kama ile ya binti za Wasira!.

NB. Familia ndio ngazi ya kwanza ya jamii na inahusisha baba, mama na watoto wao tuu!, na ikiwa ni extended familiy itawahusisha wale ndugu waliolelewa ndani ya mji wa Mwalimu tuu, not more, not less!.

Kaka na dada wa Mwalimu, sio wanafamila wa Mwalimu bali ni wanaukoo wa Mwalimu!. Naomba tutenganishe kati ya wanafamilia, wanaukoo, ndungu jamaa na marafiki!. Hakuna mwanafamilia wa Mwalimu aliyeko Chadema!.
Pasco.
 
Francis Joseph Nyerere, ambaye ni kitindamimba wa Mzee Joseph Nyerere, amepandisha bendera ya Chadema nyumbani kwao, Mwananyamala jijini Dar es Salaam. Katika picha hii ni wa kwanza kushoto mwa bendera.

Kushoto kwake ni Mpiganaji Tundu Lissu wakati wa uzinduzi wa Tawi hilo. Francis anaungana na Vincent ambaye ni mbunge wa Musoma Mjini (Chadema).

Hapo kwenye wekundu pamenivutia sana. Hivi baada ya Nyerere ni mtu gani mwenye uhusiano na kiongozi wa nchi hii (hasa uhusiano huu wa karibu yaani Baba Mkubwa alikuwa Rais) ambaye anaishi Mwananyamala?
 
Mungu tusaidie watu zaidi wazidi kufunguliwa
 
Watoto wa Nyerere wanajulikana hii tabia ya ktumia majina ya wa tu kwa umaarufu haifai,Esther na Lilian Wasra nao walijifanya kama watoto wa Wasra kumbe ni geresha,sasa Mzee Joseph Nyerere nae ni nani katika nchi hii hadi mtoto wake apewe coverage kisa kujiunga na Chadema! Au mnatumia Jina la Nyerere kujifanya kama ni watoto wa Mwl Nyerere!

Nani alikwambia uzaliwe na mcheza ngoma. mkuu huo ni wivu walaumu wa........zi. wako.
 
Kumbe Mwalimu alikuwa na nyumba Mwananyamala.

Anaishi Mwananyamala ipi kwa Kopa, Manjunju, Kwa Mama Zakaria, Kisiwani.
 
ngashituka,shadema ndio mpango msima!
 
anayetambua ukwli leo kafunguliwa na mola watnzania tujitambue mapema ili ccm ikose wanachama 2015 abaki nape na kinana tu wanaotumia mbinu za kuwafanya watz wasifaid maziwa na asali kwa kukiendeleza chama kilichokosa mvuto kwa watanzania.
 
Naona kuna watu wanakula kupitia jina la mwalimu. Njaa mbaya sana. Na cdm kweli wamechemsha walikuja na kina wassira njaa sasa wanakuja na kina nyerere njaa. Iko kazi
 
Wewe ni mpuuzi na mwenye laana ya kuzaliwa kweli, haya kamchagulie baba yake awe nani?

Mnatumia jina la Nyerere eti familia ya Nyerere.....kumbe mtoto wa Joseph Nyerere! Joseph Nyerere kwa Nchi hii ana umaarufu gani kama sio kulima viazi pale butiama? Familia ya Nyerere kwa kuamanisha Mwl Julius Nyerere ni akina Madara,makongoro,rose na wengine na sio hao machola wengine mnaotaka kuwapaisha kwa jina la baba yao mlima Viazi Joseph Nyerere! Acheni propaganda za kishamba
 
Bado tunaendelea kuilinda dhidi ya matumizi ya kifisadi, kwa matumizi yenye maslahi kwa Taifa hiyo haina shida, hata wewe unakaribishwa uje ewekeze mkuu
vipi gesi mmeshindwa kuilinda? mmegeuka nyuma mmekuwa nguzo ya chumvi!
 
Back
Top Bottom