Picha: Mwingine familia ya Nyerere ajiunga CHADEMA

Picha: Mwingine familia ya Nyerere ajiunga CHADEMA

Manyerere Jackton

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
2,438
Reaction score
4,465
Francis Joseph Nyerere, ambaye ni kitindamimba wa Mzee Joseph Nyerere, amepandisha bendera ya Chadema nyumbani kwao, Mwananyamala jijini Dar es Salaam. Katika picha hii ni wa kwanza kushoto mwa bendera.

Kushoto kwake ni Mpiganaji Tundu Lissu wakati wa uzinduzi wa Tawi hilo. Francis anaungana na Vincent ambaye ni mbunge wa Musoma Mjini (CHADEMA).
attachment.php

​
 

Attachments

  • SAM_0008.JPG
    SAM_0008.JPG
    74.5 KB · Views: 3,673
a positive move!! hiyo ndo familia ya rais mstaaf iliyoachwa na maadil mpaka sasa kwa kipimo chochote kile.. wengine wote waliofuata ama wameungana na wez wa rasilmal za taifa ama wamewatumikia wez wa rasilmal za taifa...ama wenyewe wamekuwa wez wa rasilmal za taifa, bado watoto wa wengine wamekuwa mamilionea kwa kipind kifup tu, wanasikia, wanaona, hata baba yao angekuwepo, asingevumilia upuuz huu, Mungu hamtupi mja wake, haki itasimama daima!!!
 
Tusubiri mkapa atuambie kama aliwahi kumfahamu huyu kamanda Francis Nyerere.

Hii ni hatua kubwa sana ya kuonyesha namna Chadema inavyowavutia watu wa kada mbalimbali.
 
Francis Joseph Nyerere, ambaye ni kitindamimba wa Mzee Joseph Nyerere, amepandisha bendera ya Chadema nyumbani kwao, Mwananyamala jijini Dar es Salaam. Katika picha hii ni wa kwanza kushoto mwa bendera.

Kushoto kwake ni Mpiganaji Tundu Lissu wakati wa uzinduzi wa Tawi hilo. Francis anaungana na Vincent ambaye ni mbunge wa Musoma Mjini (Chadema).

View attachment 81707

Watoto wa Nyerere wanajulikana hii tabia ya ktumia majina ya wa tu kwa umaarufu haifai,Esther na Lilian Wasra nao walijifanya kama watoto wa Wasra kumbe ni geresha,sasa Mzee Joseph Nyerere nae ni nani katika nchi hii hadi mtoto wake apewe coverage kisa kujiunga na Chadema! Au mnatumia Jina la Nyerere kujifanya kama ni watoto wa Mwl Nyerere!
 
Another critical move towards liberation!
 
Watoto wa Nyerere wanajulikana hii tabia ya ktumia majina ya wa tu kwa umaarufu haifai,Esther na Lilian Wasra nao walijifanya kama watoto wa Wasra kumbe ni geresha,sasa Mzee Joseph Nyerere nae ni nani katika nchi hii hadi mtoto wake apewe coverage kisa kujiunga na Chadema! Au mnatumia Jina la Nyerere kujifanya kama ni watoto wa Mwl Nyerere!

Wewe ni mpuuzi na mwenye laana ya kuzaliwa kweli, haya kamchagulie baba yake awe nani?
 
Back
Top Bottom