Picha: Mwingine familia ya Nyerere ajiunga CHADEMA

Picha: Mwingine familia ya Nyerere ajiunga CHADEMA

Mbona inaonekana ni uamuzi pekee uliobakia. Unahitaji kumsoma Nyerere katika "A Rational Choice" akielezea kwanini hatuweza kuanza taifa na ubepari na kwanini ujamaa ulikuwa ni njia sahihi. Ukishaondoa vinginevyo vyote vinavyokinzana kile kilichobakia hata kama ni kigumu kiasi gani ndicho hicho unapaswa kufanya...

Siwezi kuelewa kama kuna mtu yeyote aliyemsoma Nyerere, kumwelewa na kumkubali anaweza kuendelea kuwa CCM. I doubt it.
 
Mkuu mambo ya Mtwara yanakujaje tena...tumeulizia tu Mwalimu Nyerere alikuwa na nyumba Mwananyamala.

Mwendelezo wa siasa za kuabudu majina hapa tanzania bado inaonekana hawa Chadema wanahusudu sana!
 
...last time i checked Yeriko Nyerere alisema Mwl Nyerere ni Baba Yake Mzazi,kwa kiswahili fasaha basi Yeriko Nyerere ametoka kwenye viuno vya Mwl Nyerere kama ilivyo kwa akina Andrew,unless na yeye ndio haya tena....

hapo kwenye viouno mimi simo
 
I like CDM move. Those against it are denierers and setbacks of our national dvt.
 
...wakati ni sasa wa kujiunga na jeshi la ukombozi...wale wanaosubiri hadi yafanyiwe hila kwenye kura za maoni ndo waujue upande wa haki watakuwa si wenzetu na tuwaite wanafki...
 
Sasa Jambo la ajabu lipi kwa huyo kujiunga na Chadema hadi itangazwe? Wanachama wengine hawana maana kisa ana jina la Nyerere tu ndio mna mpaisha!?

Kwani kuna sheria inayoratibu watu wa kutangazwa pindi wakijiunga na vyama vya siasa?

Hata wewe tu kesho ukijiunga na chama cha Ndugu Dovutwa unaweza kutangazwa tu ndugu!
 
Mkuu Mzee wa Kwembe Kati, uitaja tuu jina la Nyerere, kwa wengi wetu tunahesabu ni familia ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, hivyo ukisema familia ya Nyerere bila ku specify, ref ya wengi wetu watadhani ni familia ya Mwalimu kumbe ni ya Jose!.

Please be specific isije kuwa kama ile ya binti za Wasira!.

NB. Familia ndio ngazi ya kwanza ya jamii na inahusisha baba, mama na watoto wao tuu!, na ikiwa ni extended familiy itawahusisha wale ndugu waliolelewa ndani ya mji wa Mwalimu tuu, not more, not less!.

Kaka na dada wa Mwalimu, sio wanafamila wa Mwalimu bali ni wanaukoo wa Mwalimu!. Naomba tutenganishe kati ya wanafamilia, wanaukoo, ndungu jamaa na marafiki!. Hakuna mwanafamilia wa Mwalimu aliyeko Chadema!.
Pasco.

Pasco nini sababu ya ufafanuzi wako? au umesoma shule moja na jobu ndugai. ni heri ungekaa kimya kuliko ulivyofanya, UJUE NYERERE SIYO JULIUS.
 
Mrengo wa kati,hata kama sio mtoto wa nyerere wewe kinakuuma nini?
 
Kuwa mtoto/mjukuu wa Nyerere si ishara ya Uzalendo kama atakuwa na motive zenye maendeleo ya nchi huku damu ikimwagika.
 
...last time i checked Yeriko Nyerere alisema Mwl Nyerere ni Baba Yake Mzazi,kwa kiswahili fasaha basi Yeriko Nyerere ametoka kwenye viuno vya Mwl Nyerere kama ilivyo kwa akina Andrew,unless na yeye ndio haya tena....

The guy always bypass the answer and that tells something.
 
Mkuu Andrew na huyu kijana Yericko, naye ni mdogo wetu mwanafamila, mwana ukoo, ndugu, jamaa au ni majina tuu?.P.

What so special?????? Inakuuma nini mtoto wa kiume????
 
Kuwa mtoto/mjukuu wa Nyerere si ishara ya Uzalendo kama atakuwa na motive zenye maendeleo ya nchi huku damu ikimwagika.
Mkoloni pamoja na madhila yote aliyotufanyia hakumwaga damu pale watu walipopigania demokrasia na uhuru zaidi cha ajabu ni nyie weusi wenzetu(makaburu weusi) mnapotupiga risasi za moto bila huruma.JE WAKATI NYERERE NA WENZAKE WAKIPIGANIA UKOMBOZI WA MTU MWEUSI WAKOLONI WANGEUA RAIA WA KULAUMIWA ANGEKUA MWALIMU AU MKOLONI???Tumia akili sio masaburi.
 
Back
Top Bottom