Picha: Mwingine familia ya Nyerere ajiunga CHADEMA

Picha: Mwingine familia ya Nyerere ajiunga CHADEMA

Mnatumia jina la Nyerere eti familia ya Nyerere.....kumbe mtoto wa Joseph Nyerere! Joseph Nyerere kwa Nchi hii ana umaarufu gani kama sio kulima viazi pale butiama? Familia ya Nyerere kwa kuamanisha Mwl Julius Nyerere ni akina Madara,makongoro,rose na wengine na sio hao machola wengine mnaotaka kuwapaisha kwa jina la baba yao mlima Viazi Joseph Nyerere! Acheni propaganda za kishamba
Chukua like mkuu, umemaliza yote.
 
Kwa nini watu wanapenda kulikimbilia sana hili jina la Mwalimu Nyerere.......Hii ni dalili ya kuwa kupe..........Fanyeni mambo yenu kwa juhudi zenu bila kupitia mgongo wake kama alivyofanya mwenyewe bila kujipambanua kama anatoka katika familia ya mtemi.

Watanzania nasi tunakuwa vilema wa fikra kwa kudhania kila anayejihusisha na jina la Nyerere basi ni ingenious kama alivyokuwa Mwalimu Nyerere.

Is this the old boy network at the highest level in our country?.
 
Safi sana...kilichobaki ni MAMA MARIA NYERERE kujiunga na chama tuu..........
 
Mkuu Anderea, ukisema tuu familia ya Nyerere bila kuwa specific, the broader perception ni familia ya Mwalimu!.
P.

Sawa,ni familia ya Mwalimu. Mi nabishana tu na yule aliyesema huyu siyo mtoto wa Mwalimu,huyu ni mnafiki tu anatumia majina ya watu maarufu.
 
Hapana mkuu hapana, kutozaliwa na Julius hakuwaondolei haki ya kuwa familia ya nyerere, kwani huyo Julius hakuzaliwa peke yake katika familia ya mzee Nyerere! Haijalishi baba yao alikuwa mkulima wa viazi, maharage, muhogo wala alikuwa mfanyakazi serikalini!
Kumbuka hakuna kazi iliyobora kuliko nyingine. Ila hii shangilia shangilia haina maana kwa chama kinachopigania ukombozi! Kwa maana watu wa kawaida kabisa wanawekwa katika kundi maalumu na kuvikwa sifa za juu wasizostahili, siku ndani ya chama wakikosea viongozi wenu watashindwa kuwawajibisha kwa kuchelea kuwagawa wanachama kwasababu hapa mwanzo mliwapa daraja kubwa mbali na hadhi zao!

Mnatumia jina la Nyerere eti familia ya Nyerere.....kumbe mtoto wa Joseph Nyerere! Joseph Nyerere kwa Nchi hii ana umaarufu gani kama sio kulima viazi pale butiama? Familia ya Nyerere kwa kuamanisha Mwl Julius Nyerere ni akina Madara,makongoro,rose na wengine na sio hao machola wengine mnaotaka kuwapaisha kwa jina la baba yao mlima Viazi Joseph Nyerere! Acheni propaganda za kishamba
 
If having members of Nyerere's family in their party is everything Chadema supporters are looking for, then they've definitely won the battle. But if they're aware that it's credible policies, rather than big names, that give life to a political party, they'd perhaps find that there's no point in rejoicing over the arrival of this latest guest to join their ranks. Sure, they may succeed in persuading the whole family to become their part, but the crucial question remains what the impact is these people might have on the wellbeing of the party.
 
!.

NB. Hakuna mwanafamilia wa Mwalimu aliyeko Chadema!.
Pasco.

...last time i checked Yeriko Nyerere alisema Mwl Nyerere ni Baba Yake Mzazi,kwa kiswahili fasaha basi Yeriko Nyerere ametoka kwenye viuno vya Mwl Nyerere kama ilivyo kwa akina Andrew,unless na yeye ndio haya tena....
 
Makongoro Julius Kambarage Nyerere aliwahi kujiunga NCCR Mageuzi na kuwa Mbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya chama hicho enzi za uhai wa baba yake na kupewa baraka na Nyerere. Tuwe na uvumilivu wa kisiasa ni mambo ya kawaida.

Katiba haizuii watoto wa viongozi kujiunga upinzani. Kila la kheri Francis fika salama huko uendako.
 
...last time i checked Yeriko Nyerere alisema Mwl Nyerere ni Baba Yake Mzazi,kwa kiswahili fasaha basi Yeriko Nyerere ametoka kwenye viuno vya Mwl Nyerere kama ilivyo kwa akina Andrew,unless na yeye ndio haya tena....
Mkuu Butola, comments nyingine ni za hatari sana!, angalia zisije zikaingiliana na zikatutibulia ule mchakato wetu wa Mwenye Heri kuelekea kwenye Utakatifu!.
P.
 
Hajatenda dhambi bado Andrew Nyerere. Andrew uko chama gani?
 
I have no idea. Unajua mimi ni very reclusive,na wana familia wengine,wanafamilia wengi siwafahamu.[And yet mimi ndio mkubwa wa familia]

Hajatenda dhambi bado Andrew Nyerere. Andrew uko chama gani?
 
I have no idea. Unajua mimi ni very reclusive,na wana familia wengine,wanafamilia wengi siwafahamu.[And yet mimi ndio mkubwa wa familia]
Thanks and better be safe than sorry, wewe as the the first born kiafrika wewe sana ndio flag bearer wa Jina la Nyerere as a head of a family unit, hivyo you should have know!. Kitendo tuu cha kutojua ni taarifa tosha kuwa hata kama, sio family member!.
P.
 
Back
Top Bottom