mwambadog
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 1,736
- 1,446
mafisadi hõyeeeéeeeeeee
Si ndevu tu. Nimejaribu kufikiri hayo mavazi yanaashiria nini sipati jibu. Nyota kwenye kofia yake imekaa ki-Mao, sasa yeye na Mao wapi na wapi! Huyu kasoma vizuri, lakini bila shaka anahitaji msaada fulani.
hivi hapa tutamtofautisha vipi na jwtz? mbona mavazi yanafanana? Kazi ipo Tanzania.
...sijue Obama anakuja lini? Zanzibar wanataka uhuru haraka!!

Makamanda wa ccm wanatisha wako tayari kwa ajili ya kuangamiza ufalme wa mzee kufokafoka na kutema mate jukwaani aka mla unga Chuguuuuuuu.
Mkuu KIBANGA ampiga mkoloni,huyu Naibu Katibu Mkuu wangu amebadilika sana.Hizi ndevu zisizo na maana lazima zitakuwa zinaathiri utendaji wake tu. Zimekaa kivivu,kikatili na kutojali.
Si ndevu tu. Nimejaribu kufikiri hayo mavazi yanaashiria nini sipati jibu. Nyota kwenye kofia yake imekaa ki-Mao, sasa yeye na Mao wapi na wapi! Huyu kasoma vizuri, lakini bila shaka anahitaji msaada fulani.
Jonas Savimbi!!