PICHA: Mwigulu Nchemba alipowasili Mbeya

PICHA: Mwigulu Nchemba alipowasili Mbeya

mw2.jpg


Mambo ya vyama haya nayo ni wito, sijajua lini wanapata nafasi ya kutulia na familia zao. Kuna uwezekanao watoto wao wanaowaona once a month. Mizunguko isiyoisha, ndio maana wenzetu siku hizi ni siasa za kizazi cha dot com, lakini bongoland ni zile za analogia kazi kwelikweli. Kama mtu hapati muda wa kutulia na familia yake inabidi kila anakoenda waandaaji wakamilishe kila kitu, mtindo wa machifu ati yasitokee yale ya kashfa ya Igunga kumchukua mwanandoa wa mwenyewe.
 
mw1.jpg


Hawa jamaa wanaachiana madevu, Philip Mangula ameamua kujitoa kwenye club ya wenye madevu ili kumpisha Nchemba awe njomba wa ndevu, chezea nini!
:msela::msela:​
 
Hiyo nyota nyekundu kwenye kofia ni ishara mpya ya ubia na wachina kwenye energy deals.Tumekwisha!
 
Huku tunapoelekea ni kubaya kuliko tulipotoka,hata mimi nashangaa chama chao lini kilianza kuwa na nyota nyekundu?

Hawa watu wanashangaza, ole wao wale wanaocheka kwa mambo yanayotendwa na watu hao leo maana watalia na kusaga meno mambo yatakapo geuka!
 
Haya mzee wa matusi mazito,fanya kama ulivyofanya poromosha zaidi ya yale ya Arusha,ukimaliza,kanyoe hizo ndevu sababu zinakufanya uonekane katili wa sura na roho.
 
Makamanda wa ccm wanatisha wako tayari kwa ajili ya kuangamiza ufalme wa mzee kufokafoka na kutema mate jukwaani aka mla unga Chuguuuuuuu.
Nao ni makamanda? naona mnaiga sera, mavazi mpaka majina. Mmeshaishiwa mbinu na ubunifu inabidi muige tu. Mwambieni Shitambala na Dhambi wakashone magwanda.
 
Mmhhh lameck mkumbo ana sura mbaya Mmmmm kama jinamizi fyuuu hao madem anaochukuwa watakuwa wana njaa mno duuu
 
mw2.jpg


Kwa wale madaktari ukipata case kama hii kwenye somo la psychiatry (mental health) halafu ukashindwa kupata diagnosis itabidi unyang'anywe cheti. Nyota nyekundu, mikasi isiyo na maana mabegani, makambakamba nguo nzima, mandevu yasiyo na ushirikiano. yaani bila hata ya kuongea na mgonjwa diagnosis iko very clear.
 
Hahaha,yuko kama 'jokeli' la kwenye karata..jamaa mandevu yamemjaa kwa sababu ya depressions alizonazo.unyama wake umeanza kudhihirika machoni pa Watanzania.hata ingekuwa mm,ningekuwa kama kichaa dakika kama hizi za hatari.the good thing wanyama wenzake wanampa support kidogo ndo maana he luks better among the worse.
 
Makamanda wa ccm wanatisha wako tayari kwa ajili ya kuangamiza ufalme wa mzee kufokafoka na kutema mate jukwaani aka mla unga Chuguuuuuuu.
[MENTION][JFMP3][/JFMP3][/MENTION]

Hahaha mshaurini basi apunguze hizo ndevu au nayeye yuko ule mrengo mwingine!?
 
mw2.jpg


Kwa wale madaktari ukipata case kama hii kwenye somo la psychiatry (mental health) halafu ukashindwa kupata diagnosis itabidi unyang'anywe cheti. Nyota nyekundu, mikasi isiyo na maana mabegani, makambakamba nguo nzima, mandevu yasiyo na ushirikiano. yaani bila hata ya kuongea na mgonjwa diagnosis iko very clear.
[MENTION][JFMP3][/JFMP3][/MENTION]

Ndugu nikweli kabisa hapa dactari hahitaji hata kuchukua vipimo, hayo mavazi tu yenyewe akifika dactari lazima atoe maelekezo ya sehemu anakostahili kulazwa.
 
Duuuh!!! huyu Mgoni ana midevu kama ya Simba vile🙂
 
Duuu aisee nimecheka mpaka mbavu zimeniuma yani kwa akili yao wanadhani chadema imehit kwajili ya combat sasa wanajaribu kuigaiga sale inayoendana na gwanda matokeo yake wanaharibu kama ivo, duu yani jamaa ametisha ndo kwanza anaonekana kama galasa tu, na watambue kwamba gwanda si vazi lao na waelewe kwamba watajiokoa kwa kutekeleza ahadi tu za wananchi kuleta maisha bora kwa kila mtanzania na si vinginginevyo. Kubadili muonekano marra gwanda mara kofia yenye kinyota chekundu zaidi wanaonekana kama walinzi wa maduka ya wahindi tu. Comeooon chemba be serious unavalishwa tu kila kitu at the end u will be rebelized ndo utashangaa alaaa!!! Sheeeeenzi....
mkuu unaponda huku roho inakuuma make unavyompenda mwigulu unatamani kama angekuwa na wewe kila siku.
 
Mwigulu kiboko ya slaa akisikia anakuja slaa lazima ajifiche.
 
Mkuu KIBANGA ampiga mkoloni,huyu Naibu Katibu Mkuu wangu amebadilika sana.Hizi ndevu zisizo na maana lazima zitakuwa zinaathiri utendaji wake tu. Zimekaa kivivu,kikatili na kutojali.

Tena anaonekana kama kazeeka sana. Maisha katika siasa noma!!!!
 
mw1.jpg


Hawa jamaa wanaachiana madevu, Philip Mangula ameamua kujitoa kwenye club ya wenye madevu ili kumpisha Nchemba awe njomba wa ndevu, chezea nini!
:msela::msela:​
mwigulu anawafanya msilale na mda bado mtachina mwaka huu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom