PICHA: Mwigulu Nchemba alipowasili Mbeya

PICHA: Mwigulu Nchemba alipowasili Mbeya

mw.jpg
mw1.jpg
mw2.jpg
mwi.jpg
mwi1.jpg

Duuu aisee nimecheka mpaka mbavu zimeniuma yani kwa akili yao wanadhani chadema imehit kwajili ya combat sasa wanajaribu kuigaiga sale inayoendana na gwanda matokeo yake wanaharibu kama ivo, duu yani jamaa ametisha ndo kwanza anaonekana kama galasa tu, na watambue kwamba gwanda si vazi lao na waelewe kwamba watajiokoa kwa kutekeleza ahadi tu za wananchi kuleta maisha bora kwa kila mtanzania na si vinginginevyo. Kubadili muonekano marra gwanda mara kofia yenye kinyota chekundu zaidi wanaonekana kama walinzi wa maduka ya wahindi tu. Comeooon chemba be serious unavalishwa tu kila kitu at the end u will be rebelized ndo utashangaa alaaa!!! Sheeeeenzi....
 
Naona yule kijana aliye mwagiwa tindikali na ccm anatumika na ccm kama condoms! Ccm wana dhambi.
 
duh hivi ni vituko zaidi ya ukomedi....mchumi mzina.......staki kumalizia
 
huyu mwigulu anaweza akasaidia polisi katika upelelezi wa kifo cha afisa usalama taifa pale kijitonyama make anavyoonekana ni mafia moja ambaye ni upcoming.
 
Mh.Samwel Sitta, Ole Sendeka na Anne Kilango Malecela walifika Mbeya wakijua wao ndio wasafi na watu wa Mbeya wangewapokea, but waliyokutana nayo siri yao baada ya kukuta kila wanapopita na maandamano yao watu wanaendelea na shughuli zao kama hawawaoni hivi.

Hapo alipopigia picha ni ofisi za CCM mkoa na kuthibitisha kuwa hakuna anayejali ujio wake, angalieni nyuma ya waliovaa nguo za kijani kama kuna watu wanaoshangaa kinachoendelea pamoja na kuwa ofisi hizi zipo barabarani kabisa.

Angekuwa kiongozi wa juu wa Chama chochote kikubwa cha zaidi ya CCM, angekuwa na wanachama wa chama chake tu kwa maeneo kama zilipo ofisi za CCM?Naamini watu wangejaa.Hii ni ishara ya kuwa watu wameichoka CCM hasa hapa Mbeya.

Kaja kwa mkutano wa wazi au wa ndani?Kama ni wa wazi,tutashuhudia malori ya kubebea watu ili kwenda kuongeza mahudhulio kwani najua kwa Mbeya mjini asitarajie kuona watu wengi kama ilivyo kwenye mikutano ya CDM.

HAYO NI MAWAZO YANGU SI LAZIMA KILA MTU AYAKUBALI.
 
hiki kituko alichokivaa ndiyo nini? Kinaonyesha wadhifa upi? Dah!!!

inaonyesha wadhifa wa kuongoza magenge ya wahuni wa kuvuruga harakati na mikutano ya cdm na wataalam wa kupika video zinatupiliwa mbali na mahakama. Hivi hako kamama sijui kabinti ni kamke ka nani akae sawa huyo ,rejea yale ya igunga
 
  • Thanks
Reactions: BAK
nyota nyekundu ni alama mpya ya chama cha mapinduzi! au ina ashiria muhusika kumwaga damu ya mtu!
 
Mengine yoote geresha tu... Point ni kuvaa nembo ya illuminati kwenye kofia (nyota)...
 
Mkuu KIBANGA ampiga mkoloni,huyu Naibu Katibu Mkuu wangu amebadilika sana.Hizi ndevu zisizo na maana lazima zitakuwa zinaathiri utendaji wake tu. Zimekaa kivivu,kikatili na kutojali.

Jamaa hizi ndevu lazima zimuathiri kiutendaji manake ziko kama sisimizi wanakula sukari!
 
Last edited by a moderator:
Bravo Mwigulu kwa kuwaonyesha njia wanaCCM wa Mbeya na umerudisha hamasa miongoni mwa wananchi CCM OYEE!!
 
Longo longo nyingi kutoka kwa wapinzani ni dalili za kuweweseka. Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji.

CCM tumedhutubu, tumeweza na kwa sasa tunatenda.

CCM hatuna muda na cheap politics za muda mfupi ambazo zimepitwa na wakati zinazofanywa kwenye majukwaa na wanasiasa uchwara kama ilivyotokea siku mbili zilizopita. Tunawaacha wafu wazikane baada ya kutoa lambi lambi zetu.
 
Huyo maccm yanamwona jiniasi.
 
Nashangazwa mno na uwezo wa chama hiki wa kuunda marobot watu
 
Makamanda wa ccm wanatisha wako tayari kwa ajili ya kuangamiza ufalme wa mzee kufokafoka na kutema mate jukwaani aka mla unga Chuguuuuuuu.

mkuu CHAMVIGA naomba nikupe taarifa.!
hakuna mtu atakaemtoa sugu mbeya mpaka yemwenyewe aamue..
sugu hata aende UDP na akagombea ubunge mbeya atapta tuu..
 
Last edited by a moderator:
Jamani anagelieni kwa makini picha ya mwisho chini - inaelekea yule kijana aliyefukuzwa CDM amepewa kazi ya kubeba skafu ya kudumu ya Mhe Chemba?:shock:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom