PICHA: Mwigulu Nchemba alipowasili Mbeya

PICHA: Mwigulu Nchemba alipowasili Mbeya

Hi
[MENTION][JFMP3][/JFMP3][/MENTION]

Hahaha mshaurini basi apunguze hizo ndevu au nayeye yuko ule mrengo mwingine!?
hivi kama mwigulu peke yake anakiyumbisha chadema vipi temu nzima ya ccm ikiwashukia.
 
Si ndevu tu. Nimejaribu kufikiri hayo mavazi yanaashiria nini sipati jibu. Nyota kwenye kofia yake imekaa ki-Mao, sasa yeye na Mao wapi na wapi! Huyu kasoma vizuri, lakini bila shaka anahitaji msaada fulani.

hiyo ndiyo kazi aliyoenda kuifanya china
 
Hivi nembo ya CCM siku hizi imebadilika? mi kwenye shati la mwigulu naona jembe na shoka!
 
Huyu mtu ananikumbusha enzi za 'mfalme' Bokassa.
mwi1.jpg



[video=youtube_share;NPYeFF4OoXQ]http://youtu.be/NPYeFF4OoXQ[/video]
 
Kule nyuma namwona yule kijana aliyemwaguwa tindikali
 
Mtu mwenye akili timamu hawezi kuvaa kama huyu jamaa. Kuna uwezekano mkubwa huyu ni kichaa. Personality sifuri kabisa.
 
Tafsiri ya Mavazi ya mwigulu ni pana sana. Nadhani hayo ni mawazo yake si ya CCM. angalia kofia za kawaida zina nembo ya CCM, ya kwake ni nyota. Hilo koti ni kama la mkuu wa majeshi! au Fidel Castro wa Cuba, Samora, Che huevara n.k. swali je, CCM wanalitafsiri vipi hilo vazi au ndo mwanzo wa vazi rasmi la CCM? Pengine ni jibu kwa chadema na vazi lao. Kama ni hivo basi tuwasubiri CUF, TLP, NCCR na wengine. 2015 patakuwa patamu
 
Inaonyesha ni namna gani wanaanza kuwa wendawazimu chadema imewashika pabaya sasa na wao wanajaribu kuwaiga angalau nawao waitwe makamanda. Hiyo haitakaa itokee chini ya jua hili
 
Si ndevu tu. Nimejaribu kufikiri hayo mavazi yanaashiria nini sipati jibu. Nyota kwenye kofia yake imekaa ki-Mao, sasa yeye na Mao wapi na wapi! Huyu kasoma vizuri, lakini bila shaka anahitaji msaada fulani.

Ana tatizo la kisaikolojia, labda zile damu ndio zinamlilia!!!!
 
Makamanda wa ccm wanatisha wako tayari kwa ajili ya kuangamiza ufalme wa mzee kufokafoka na kutema mate jukwaani aka mla unga Chuguuuuuuu.
Jazba zimekupanda rasmi.


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mkuu KIBANGA ampiga mkoloni,huyu Naibu Katibu Mkuu wangu amebadilika sana.Hizi ndevu zisizo na maana lazima zitakuwa zinaathiri utendaji wake tu. Zimekaa kivivu,kikatili na kutojali.

Zimekaa design ya mtu aliyekata tamaa sana.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
nina imani na viongozi hoyaa hoyaaa ....kweli mzee piga kazi fungua matawi yote ya chama kila kona wao waache waendele na mjini .ccm piga kote mjini na vijijini
 
Chadomo hapo ni kutetemeka kwa kwenda nyuma
 
Mpiga picha ndio umefitini au ndivyo ilivyokua? hakuna watu kabisa, kweli huyu jamaa hata Wabongo wameisha mjua kua ni kilaza, asanteni sana MWanafyale kwa kumpa ujumbe huyu kibaraka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom