Picha: Mwenyekiti wa CHADEMA alivyochinjwa... [Extreme Images]

Alikuwa hana madeni au alikuwa si mtu wa totoz za watu?

Ni vitu vya kuchunguzwa vyote hivyo, ufanyike uchunguzi wa kina, wa kipolisi na wa kibinafsi (private investigation) au chombo kingine chenye uwezo huo. Inasikitisha lakini hatuwezi kujuwa "motive" mpaka uchunguzi wa kina ufanyike.
 
Eee Mungu tuepushe na haya mauwaji. Nawashauri vingozi na wafuasi wa CDM wawe na tahadhari juu ya haya matukio. Naona sasa yanaongezeka (Igunga, Mwanza, Arusha). Chuki za kisiasa jamani zisitufikishe huku....
 
Alikuwa hana madeni au alikuwa si mtu wa totoz za watu?

Ni vitu vya kuchunguzwa vyote hivyo, ufanyike uchunguzi wa kina, wa kipolisi na wa kibinafsi (private investigation) au chombo kingine chenye uwezo huo. Inasikitisha lakini hatuwezi kujuwa "motive" mpaka uchunguzi wa kina ufanyike.
Ficha upumbavu wako kilaza wewe!!
 
Mbwambo ni kamanda...Na vitani kamanda akifa unainamaunachukua silaha unasonga mbele hivyo kwa wana harakati wote mauwaji haya yanayofanywa zidi ya makamnda yasitutishe tusonge mbele....Tutashinda

mkuu ahsante kwa taarifa. Respect kwako. Nilijua tu utajua ya ndani. R. I. P kamanda. Its time cdm watoe tamko
 
Ama kweli tunakoelekea siyo

kwenyewe kabisa!

Na kwa namna moja ama nyingine hakika yale yaliyotokea hapo miezi iliyopita kule Igunga bila shaka ndiyo yanafika hapa Arumeru Mashariki kwa sasa
Haya hayavumiliki hata kidogo ktk haki ya Kibinadamu.

Ila kwa namna hii Mi binafsi naweza sema ya kwamba majibu hayatakawia hata kidogo kujibiwa.

Tusubirie na tutaona.
Wao wana pesa/ Sisi tuna MUNGU aliyehai na hata sasa.
 
R.I.P Kamanda...jamani, ili kupata taarifa sahihi na za uwazi,tunahitaji uchunguzi wa kujtegemea...kamamjuavyo, jesi la polisi lipo kulinda maslah ya wachumia tumbo a.k.a Magamba...

CHADEMA Taifa, fanyeni juu chini,damu ya kamanda isimwagke bure, fanyeni uchunguzi wa kujitegemea na muweke mambo hadharani!
 
Imeniharibia siku yangu wakuu! Too sad, aliyefanya huo unyama si binadamu wakawaida!! Lazima atakuwa anatatizo kubwa la kiakili au keshazoea kufa hizi kazi.
 
Alikuwa hana madeni au alikuwa si mtu wa totoz za watu?

Ni vitu vya kuchunguzwa vyote hivyo, ufanyike uchunguzi wa kina, wa kipolisi na wa kibinafsi (private investigation) au chombo kingine chenye uwezo huo. Inasikitisha lakini hatuwezi kujuwa "motive" mpaka uchunguzi wa kina ufanyike.
Tukiwaambia Polisi wachunguze wanatuambia tunatishia amani ya Tanzania labda kwa kuwa wewe ni gamba waambie wafanye uchunguzi ingawa jana Andengenye alishatoa maelezo kuwa huyu Mbwambo hajauwawa kwa mambo ya kisiasa lakini akashindwa kutuambia kauwawa kwa mambo gani....Hata yule wakala bado tuna subiri uchunguzi, kukatwa katwakwa wabunge pia bado tuna subiri uchunguzi lakini nikuhakikishie kama angekuwa amewawa polisi mpka tunapo ongea muuaji angesha kamatwa...
 
R.I.P Kamanda...jamani, ili kupata taarifa sahihi na za uwazi,tunahitaji uchunguzi wa kujtegemea...kamamjuavyo, jesi la polisi lipo kulinda maslah ya wachumia tumbo a.k.a Magamba...

CHADEMA Taifa, fanyeni juu chini,damu ya kamanda isimwagke bure, fanyeni uchunguzi wa kujitegemea na muweke mambo hadharani!
Chadema itumie Interejensia ya chama kufanya uchunguzi maana polisi inaonyesha wana masirahi na hivi vifo vya wanachama wa chadema.....
 
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, walidai kuwa kabla ya tukio Mbwamb
alikuwa na wenzake wakistarehe kwa vinywaji, lakini yeye hakuwa anakunywa
chochote lakini ghafla alipigiwa simu na watu hao, wakidai kuwapo wanachama
wa CCM waliotaka kurudisha kadi na kujiunga na Chadema
.
Hata hivyo, chanzo
cha tukio hilo hakijajulikana ila taarifa za awali zinahusisha masuala ya

kisiasa, kwani baada ya uchaguzi mdogo wa ubunge Arumeru Mashariki kumalizika, malumbano ya kisiasa na kukamiana yaliendelea eneo hilo. SOURCE HABARI LEO
simu yake hawakuikuta. Kama simu alikuwa nayo basi wamtafute aliyepiga simu. Huyo ndiye anayejua nani amemuua Mbwambo.
 
Inasikitisha sana, na inatuonyesha tulivyokwenda mbali na Mungu wetu tukifikia kufanya unyama wa namna hii kwa sababu yoyote hile. Tuombe Mungu atuokoe.
 
Ni hatari, nimeangalia hizo picha nahisi kuchanganyikiwa. Mods naombeni mzitoe haraka hizo picha hata kama kuna warning
 
Oooh noo..
Huu unyama umepitiliza Jamani :(
Yaani mtu anadiriki kumchinja Binadamu mwenzake kiasi hiki??
 
Duh hii hatari. Mbona tunaelekea pabaya. Kwa kuwa huyu alikuwa mwanasiasa inabidi polisi wafanye uchunguzi wa kina na kuutangazia umma juu ya kilichosababisha kuuawa kinyama namna hiyo. Yasije yakawa ni mauaji yanayohusishwa na siasa.

Mkuu si yasije ,ni mauaji ya KISIASA.. kwa nini iwe kwa wa upande wa CDM tu? Mwanza almanusura wabunge wauawe, na hadi leo hamna aliye kamatwa na Polisi walikua jirani na eneo la tukio... Kanumba alianguka ucku na kufikwa na umauti alfajiri ,shangaa mshukiwa kakamatwa ucku huo huo na kesi iko Mahakamani.. Tutafika tu Damu hulipwa kwa Damu
 
Back
Top Bottom