Picha: Mwenyekiti wa CHADEMA alivyochinjwa... [Extreme Images]

Kwanza natoa pole kwa wafiwa na chama cha Chadema. Jamani nawaasa sisi wananchi, tusitumike jamani na hawa wanasiasa mpaka tukafikia kiwango cha kuuana. Hii dam haitapotea hivi hivi, maana mwenye kutoa uhai wa mtu ni Mungu mwenyewe. Naamini watu hawa watapatikana tu. Aisee Tanzania tunaelekea wapi sasa?
 
R.I.P Kamanda Mbwambo! wauaji wanajulikana kwa kulisaidia tu jeshi la polisi washirikiane na makampuni ya simu kuwakamata wote waliohusika kwani ni dhahiri wauaji walitumia mitandao ya simu kufanikisha unyama wao!
 
Kwanza natoa pole kwa wafiwa na chama cha Chadema. Jamani nawaasa sisi wananchi, tusitumike jamani na hawa wanasiasa mpaka tukafikia kiwango cha kuuana. Hii dam haitapotea hivi hivi, maana mwenye kutoa uhai wa mtu ni Mungu mwenyewe. Naamini watu hawa watapatikana tu. Aisee Tanzania tunaelekea wapi sasa?
Watapatika kama Polisi wataweka pembeni siasa walizo zionyesha jana.....
 
Mmi naona chadema wanahujumiwa sana na nia yao ni kuwamaliza kabisa
Hawa wezi kutu maliza lengolao ni kututisha ili watakapo kuja na sera ya amani watu wawa amini hawajui kuwa watanzania wa 1995 nitofauti sana na wa 2012, watanzania hata usipo watajia muuaji watajua ni nani kahsika, watanzania si wajinga tena kiasi hicho jana mbunge wa geita amefukuzwa na wananchi baada ya kutaka kuwadanga waziwazi lakini CCM hawajifunzi....
 
Oooh.! Receiv his soul oh God.! Hizi n njama za CCM, hakuna kingne zaid ya hcho yan hawa n CCM 2.!
 
Inasikitisha sana...Poleni sana ndugu jamaa,marafiki wa marehemu na wana CDM...Nashindwa hata cha kuongea..RIP Kamanda.
 
Mbwambo ni kamanda...Na vitani kamanda akifa unainamaunachukua silaha unasonga mbele hivyo kwa wana harakati wote mauwaji haya yanayofanywa zidi ya makamnda yasitutishe tusonge mbele....Tutashinda
 
Mmi naona chadema wanahujumiwa sana na nia yao ni kuwamaliza kabisa

Matokeo ya Uchaguzi wa Arumeru yamekuwa ni mwiba mkali haswa kwa walioshindwa. Kuna watu wametumia fedha nyingi ikiwa ni pamoja na kujaribu kuhonga vijana na wana CDM, ambao walichukua hela na inaonekana hawakufanya ilivyotakiwa...kwa hiyo sasa wanalipiziwa kisasi !! Nina amini kabisa matukio haya yanahusiana moja kwa moja na matokeo ya uchaguzi wa Arumeru. Poleni sana wana Arumeru jitahidini muwapate wauaji!
 
kwani hiyo cm yake haijapatikana?? mm nashauri kama imeoatikana ipekuliwe hili hiyo namba iliyompigia ifuatiliwe coz namba zimesajiliwa na wahusika wanafahamika , ni kiasi cha kuuliza kule tcra, na kwenye mtandao uliotumika. au wekeni mtandao aliokuwa anatumia ili sisi tunaofanya kazi huku tuitafute ni ya nani, maana inasikitsha sana!!!!!! duh R.I.P kamanda!!!
 
RIP Mbwambo, Inatisha na kusikitisha sana; Uchunguzi wa kina na huru unahitajika ili kupata chanzo cha kifo cha mpambanaji huyu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom