Picha: Mwenyekiti wa CHADEMA alivyochinjwa... [Extreme Images]

Pumzika kwa amani kamanda! damu yako hauitapotea bure! nasikia ngoma za vita zinalia kila mahali huku Arumeru!!
 
Crashwise, kwa nini unatuma kwenye jamvi picha mbaya kama hizi? Hujui kama humu mtu aliyekufa ni binadamu. Hata picha za mnyama aliyeumia vibaya hatuzilete hapa jamvini!
 
Alikuwa hana madeni au alikuwa si mtu wa totoz za watu?

Ni vitu vya kuchunguzwa vyote hivyo, ufanyike uchunguzi wa kina, wa kipolisi na wa kibinafsi (private investigation) au chombo kingine chenye uwezo huo. Inasikitisha lakini hatuwezi kujuwa "motive" mpaka uchunguzi wa kina ufanyike.

Kiukweli nina mashaka na AKILI yako.. Nadhani wewe kuna fuse zimeachia sio bure.... :frusty:
 
Kwakweli binadamu utu umetutoka kabisa kama tunathubutu kumchinja binadamu mwenzetu kama unachinja mbuzi ama ng'ombe
 
Naiona Tanzania yenye neema miaka michache ijayo ila kama ndo tumefikia hatua hii kwenye ulimwengu wa siasa za Tanzania basi umwagikaji wa damu pia nauona mbeleni kabla ya hali kutulia na watu kunufaika na rasilimali za nchi yao.
 
Huu ni unyama wa kutisha. Kama siasa zimetufikisha waTz hapo, ni wazi tumemsahau hata Muumba wetu. Siasa zisitutoe utu wetu. Mungu amrehemu kamanda wetu.
 
Alikuwa hana madeni au alikuwa si mtu wa totoz za watu?

Ni vitu vya kuchunguzwa vyote hivyo, ufanyike uchunguzi wa kina, wa kipolisi na wa kibinafsi (private investigation) au chombo kingine chenye uwezo huo. Inasikitisha lakini hatuwezi kujuwa "motive" mpaka uchunguzi wa kina ufanyike.
Ndio matatizo ya Alshaabab na Boko Haram... utawajua tu to them blood is just a normal.... Kwahiyo hata kama alifanya hayo alistahili kufanyiwa hivyo sio?? Wakati mwingine kama huna cha kuandika jifanye hujaona au bado Nape anawalipa kwa post??
:focus:
Sijui hii nchi inakwenda wapi.... Siamini ninachokiona...

RIP
 
Nimeweka kwenye title kabisa labda Mods wanisaidi namna ya kuiweka lakini yoyote kwa yote ni unyama ambao sikutegemea kama watanzania leo hii tumefikia unyama wa kiwango hiki...haivumiliki...

Binafsi sioni kama picha hizi zinamtendea haki marehemu. Pia naona ni kama vile zinachochea ulipizaji wa kisasi na hiyo ni mbaya zaidi hasa kama polisi watashindwa kuwatia nguvuni wanachama wa CCM waliomuua.
 
Halafu kuna kikundi cha watu kinaimba wimbo wa 'nchi ya amani & utulivu'.
Hawa watu wataachia madaraka kwa 'amani na utulivu' mwaka 2015?.Sijui!Wataweza kuwachinja Watanzania wote?Ngoja tutaona.
Samahani kwa ku-prejugde.(kama nimeingilia 'uchunguzi wa polisi' na 'uhuru wa mahakama').
 
Jamaa wanaJF tutoe mchango kuisaidia familia ya marehemu. Mpigania haki ametutangulia. Toeni namba ya mobile pesa za mke wake.
 
Binafsi sioni kama picha hizi zinamtendea haki marehemu. Pia naona ni kama vile zinachochea ulipizaji wa kisasi na hiyo ni mbaya zaidi hasa kama polisi watashindwa kuwatia nguvuni wanachama wa CCM waliomuua.
Mficha uchi hazai....
 
Jeshi la polisi halitakiwi tena kuchukulia hii kitu juu juu, otherwise kuna shida kubwa sana inakuja!!!!

i bet Mr. President kuacha kukaa kimya kwenye mambo kama haya na kushadadia vifo vya wanaotia vitoto underage

THIS IS ABSOLUTELY DISGUSTING
 
binafsi sioni kama picha hizi zinamtendea haki marehemu. Pia naona ni kama vile zinachochea ulipizaji wa kisasi na hiyo ni mbaya zaidi hasa kama polisi watashindwa kuwatia nguvuni wanachama wa ccm waliomuua.

mkuu hali ni mbaya.... Hakuna tena staha....

The only way kuamsha polisi ni kwa raia kupiga kelele
 
unjama mtupu wana chadema tuwe makini sana manake hawa magamba watatumaliza,, wamekuja na njia mpya ya kutuuwa
 
Back
Top Bottom