[Picha] MTANGAZAJI EPHRAHIM KIBONDE APATA AJALI MLIMANI CITY...

[Picha] MTANGAZAJI EPHRAHIM KIBONDE APATA AJALI MLIMANI CITY...

Status
Not open for further replies.
aaaaaaa kumbe anaendesha hiyo screpa bana? apelekea kulee wakakate kate maana hata spea zake haziuziki gari gani imejaa puti kibao upepo tu hapo bampa chalii.

Halafu bila shaaka na asilimia 100 hilo jamaa lazima litakuwa na makosa tatizo mijitu maarufu mingi hapa mjini huwa inajifanya barabarani inaendeshea gari kujulikana na sion kufuata sheria.

Hapo utaona na yeye kavamia tu round about bila hata kufuata sheria. Yaani ningekuwa mm ndio kaingia anga zangu naninajua kabisa kama yeye ndio mwenye makosa nambutulia mbali

Halafu hapo Mlimani City kuna mijitu huwa inaendesha gari kama misukule vile hasa hapo kwenye geti la juu kuna watu huwa wanachomoza tuu na kukatisha kuingia au kutoka mlimani bila hata kuangalia wakati watu wanakua washanyoosha goti kutoka ubungo.na kumaliza kisahani cha speed meter
 
Kesho utamsikia ana justify na misifa yote hiyo kumiliki Carina utasikia "hii carina mafuta INANUSA tu, pia ina bonge la nafasi ndani" Tusidanganyane Kibonde hakuna asiyependa raha, na hivi unapenda sifa. Na mwenzio Hando na ile Spacio yake
 
....

......jomba!!!

....hata nyumba ndogo siwezi kumnunulia hilo debe....
Hata yeye hilo ni la hausegirl wake, alikuwa analitest tu baada ya kulitoa service. Si unaona hizo namba T 733 BVE, hizo ni namba za mwanzoni mwa mwaka huu, we unafikiri hadi 2013 Kiponde alikuwa bado anatembelea RAV2 aka TZ 11?
 
Kesho utamsikia ana justify na misifa yote hiyo kumiliki Carina utasikia "hii carina mafuta INANUSA tu, pia ina bonge la nafasi ndani" Tusidanganyane Kibonde hakuna asiyependa raha, na hivi unapenda sifa. Na mwenzio Hando na ile Spacio yake

Spacio.......!!!!?......eeeh....
 
Mmmmh!!, kapata ajali wakati namuona ameweka pozi kabisa kwa ajili ya picha, hebu acheni masihala.<br>Muda wote nimekuwa nikikwepa kuchangia mada zinazohusu Kibonde, asije akaniambukiza u kibonde wake.
 
Ana range mbili sema amezikodisha kwa watu wa harusi
 
Jamani! Embu tuache ushabiki usio na maana kapata ajali wapi? Bumper limedondoka au unataka akurushe KINEGA FM! NINI??? Jion Kwenye nanii!!
 
sijaona kama hii ni habari ya kuwekwa humu JF.
wangapi wanakwanguliwa au kufa kabisa hawawekwi humu iweje bumper tu linakwanguliwa mnateuwekea humu?
agrrrrrr hio pelekeni kwa Shigongo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom