[Picha] MTANGAZAJI EPHRAHIM KIBONDE APATA AJALI MLIMANI CITY...

[Picha] MTANGAZAJI EPHRAHIM KIBONDE APATA AJALI MLIMANI CITY...

Status
Not open for further replies.

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,803
OCT092013




KIBONDEAJALI3.jpg​


Akilikagua gari lake.




KIBONDEAJALI6.JPG

Trafiki akiwa eneo la ajali.




KIBONDEAJALI14.jpg


Gari la Kibonde likiwa eneo la ‘round about’ ya kuelekea Mlimani City baada ya ajali.

​

KIBONDEAJALI2.jpg

Trafiki akiwa eneo la ajali.

Fundi akirekebisha gari hilo baada ya ajali.









KIBONDEAJAL13.jpg





Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde amepata ajali ya gari leo asubuhi katika barabara ya Sam Nujoma kwenye ‘round about’ ya kuelekea Mlimani City. Gari alilokuwa anaendesha Kibonde aina ya Toyota Carina lenye nama za usajili T 733 BVE limeharibika kwa mbele katika ajali hiyo.

(Picha: Chande Abdallah / GPL)​



​
 
Basi kesho kipindi kizima cha jahazi ataongelea hilo! Au keshaongea leo! Pole Kibonde.
 
Dah, ajali MBAYA SANA hii! R.I.P Ndg. Kibonde, E
 
kujifanya yeye ndo yeye nilijua anaendasha Range Rover,Bmw au Audi kumbe carina ambayo inaonekana imepulizwa rangi.

Thubutu..
Mbwembwe zote hzo.
Angeparuriwa hata kipaja tu.
 
....

......jomba!!!

....hata nyumba ndogo siwezi kumnunulia hilo debe....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom