Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,977
- 25,303
- Thread starter
- #141
Mungu ni omniscient (He knows everything), hivyo kila kinachotokea Mungu anakijua, yakitokea majanga, japo yanasababishwa na shetani, Mungu alijua na asipozuia inamaana ame approve, hivyo jambo lolote linalotokea, lilikuwa litokee, liwe zuri au baya ni kazi ya Mungu kwa sababu hata shetani yuko chini ya mamlaka ya Mungu.