mlokole halisi
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 268
- 87
napita kidoooogo
......Mkuu Elungata ni kweli hiyo kitu ilikuwepo kama ni mzamiaji wa Geology haitakupa shida !!!
Mkuu hapa unamaanisha September Elevn..911. ama kuna 1111 pia?
...Mkalimani wa Kireno hapatikani
Ngoja nitoke huku
umeona wamekulenga nini?Ngoja nitoke huku
Hawajanilenga nduguumeona wamekulenga nini?
Wewe utakuwa ni CCM QUOTE] Hapana ACT
Wewe utakuwa ni CCM QUOTE] Hapana ACT
Ooh, lakini unauonaje huu mnara wa babeli?
...
......Limebaki kuwa simulizi na hili nalo litakuwa simulizi ilikuwa kishindo na itakuwa kishindo .... kiburi na dhambi kwa jumla vinatenganisha watu wasiweze kuelewana wala kuishi pamoja.....
![]()
.....Hilo tofali la nyuma mfano wa meza ndo Babel yenyewe ...unaweza kufikiri ni majabali HAPANA ni kazi za binadamu....
mnara wa babel ulikuepo na kiongozi wa ujenzi huu aliitwa nimrod
Acha uongo dogo hakuna Tower of Babel hizi picha ni za Arches National Park USA, Usilete story za vijiwe hapa
Fumbo fumbua ili wote tuelewe
Mkuu Geology aifahamie wapi. Ungesema kigodoro ungeeleweka vizuri
Jamani wapendwa nashindwa kuandika ninachotaka!! Nahofia kale kasheria ketu!! vipi kameshapita?
napita kidoooogo
Ooh, lakini unauonaje huu mnara wa babeli?
....wajenzi wanapishana lugha ...lete nyundo na leta msumeno ...lete maji naleta petrol ....lete cement naleta baruti