Picha: Mnara wa Babel, fumbo linaloishi

Picha: Mnara wa Babel, fumbo linaloishi

...

......Limebaki kuwa simulizi na hili nalo litakuwa simulizi ilikuwa kishindo na itakuwa kishindo .... kiburi na dhambi kwa jumla vinatenganisha watu wasiweze kuelewana wala kuishi pamoja.....

Driving+Tour+2013-09-16+013+copy.jpg

.....Hilo tofali la nyuma mfano wa meza ndo Babel yenyewe ...unaweza kufikiri ni majabali HAPANA ni kazi za binadamu....

Kwa hiyo hako "kamnara" ndiyo kalimyogofya Mungu kwamba wanadamu watamfikia? Kwani siku hizi amehama makazi? Maana kuna majengo marefu mara elfu ya hayo magofu nayoona hapo!! Watu wanakweza vyombo mpakka sayari za mbali vipi haogopi, au?:heh:
 
Ndio maana mtoa mada amesema ni fumbo linaloishi Mpumbavu wewe
 
Mangi Muitori twende taratibu mwerevu wangu, kwa hiyo kilichozungumziwa kwenye biblia siyo mnara huu alioonesha mdau?
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo hako "kamnara" ndiyo kalimyogofya Mungu kwamba wanadamu watamfikia? Kwani siku hizi amehama makazi? Maana kuna majengo marefu mara elfu ya hayo magofu nayoona hapo!! Watu wanakweza vyombo mpakka sayari za mbali vipi haogopi, au?:heh:

......Jambo usilolijuwa ni kama usiku wa giza !!!!
 
Kwa hiyo hako "kamnara" ndiyo kalimyogofya Mungu kwamba wanadamu watamfikia? Kwani siku hizi amehama makazi? Maana kuna majengo marefu mara elfu ya hayo magofu nayoona hapo!! Watu wanakweza vyombo mpakka sayari za mbali vipi haogopi, au?:heh:

zilikua story za kutunga tu.
yale maskyscraper ya dubai,yametokeza mawinguni si ingekua noma sana
 
Back
Top Bottom